Kontelo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 571
- 161
Habar zenu wana MMU, tangu wiki iliyoisha nimepatwa na masahibu ya kujigi jigi over performance. Lile tunaloliita kihere here a.k.a bao la kwanza kwangu imekuwa tofauti maana nachukua mda mrefu mpk nachoka na kupumzika wakat huo mamsapu kashaachia bao 4 au 5 lkn mie ndo nalitafta ilo la kwanza.
Je hili ni tatizo niende hospitali au ni mwili tu?
NB. Kabla ya hapo ilikuwa natumia dk 2 au 3 kupiga bao la kwanza, na la pili ndio nilikuwa natumia mda mwingi wa mpk dk 15 au 20.
Je hili ni tatizo niende hospitali au ni mwili tu?
NB. Kabla ya hapo ilikuwa natumia dk 2 au 3 kupiga bao la kwanza, na la pili ndio nilikuwa natumia mda mwingi wa mpk dk 15 au 20.