Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

Joined
Aug 27, 2014
Posts
43
Reaction score
11
Napiga hodi wana JF humu mnikaribishe

Ila nitafurahi sana endapo nitakaribishwa kwa kutimiza ndoto ya maisha yangu, mimi nipo single,ni mwanaume wa miaka 26 natafuta mchumba mdada mwenye mapenzi ya kweli, sichagui dini, kabila, elimu wala rangi, umri wake uwe chini ya miaka 25,kwa aliye tayari anitumie sms kupitia 0763175935.
 
Kila la kheri....Kwa uchangamfu wa namna hii bila shaka utapata anayekufaa
 
Hahahahah yaani dini yoyote unabeba, rangi yoyote, elimu yoyote... Labda unatafuta wa kugegeda tu sio mchumba wa kuweka ndani.

Be specific hakuna mtu asiye na vipaumbele, utawapata tu humu.
 
Napiga hodi wana
JF humu mnikaribishe

Ila nitafurahi sana endapo nitakaribishwa kwa kutimiza ndoto ya maisha
yangu, mimi nipo single,ni mwanaume wa miaka 26 natafuta mchumba mdada
mwenye mapenzi ya kweli, sichagui dini, kabila, elimu wala rangi, umri
wake uwe chini ya miaka 25,kwa aliye tayari anitumie sms kupitia
0763175935.

nina hofu kama utampata maana ungekuwa na 30 then unatafta below 25 hapo sawa ila kila la kher
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom