Mwanaume yupi ananafuu kati ya hawa?

Mwanaume yupi ananafuu kati ya hawa?

Kijana leo

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
2,860
Reaction score
812
kwa wanawake wale ambao hawajaolewa na wale walioolewa, toeni ufafanuzi wenu kati ya mwanaume mlevi na mzinzi (mpenda michepuko) ni yupi ananafuu? hata kuishi naye.cc miss neddy, miss chagaa, ICHANA, MankaM honeyfaith, miss strong, heven on earth na wote karibuni.
 
Last edited by a moderator:
kuna ulevi wa aina tatu
utalewa pombe na sigara
utalewa bangi au miraa
au utalewa mbunye
havikwepeki
 
Akiwa mlevi ujue mwanamke lazima achepuke...so bora mwananume mzinzi ili mwanamke awe na wivu wakati wote..!
 
Bora mlevi aiseee !Atakunywa weee atarudisha DUSHE lake nyumbani kuibiwa mali zako inauma.;!
 
wote hawana nafuu ila mzinzi hafai atakuletea magonjwa
 
Mlevi wa pombe mzuri sana anaweza kuna uwezekani akapunguza ,tutaenda saw a tu
Ila asiwe Marioo
 
Back
Top Bottom