Siku hizi most members just stay low-key. Ile legacy ya wakati ule imepotea.
Ile vibes na zile late nights zilizokuwa zikifanyika kwa sababu ya non-stop conversations are slowly dying. I really...
1. Leo usiku huu,mnapeana utamu mkiwa wapi? Gest house,nyumbani,polini au umekosa wa kuruka naye?
2. Utamu unaupata toka kwa nani? Mke/mme wako,danga,ama umeamua ulale kapa bila kupata radha ya...
Sijui kwanini kuna hili wimbi la ma barmaids na madada poa wengi kutoka kanda ya ziwa wakati wanafanya zamani tulikuwa tunajua madada poa na ma bar maid wengi ni kutok pale kanda ya kati ila...
Hongereni kwa darasa la sheria kutoka kwa mh. Ndugu T.A.M LISSU.
Nipo na mke wangu sasa ni mwaka wa 4 sijwahi mpiga hata kofi maana anajitahidi kwenye utii kwa kweli.
Alimleta mdogo wake wa kike...
Naombeni ushauri au neno lolote.
Hapa ninapoishi (Ubungo) nimepata mgeni wa kike.
Dada huyu alikuwa ni rafiki yangu wa huko nyuma kabla sijaachana na ile kazi ya haramu niliyokuwa naifanya kule...
Hili la wanawake kuwa na wanaume wengi limekuwa kama sheria waliyoipitisha wenyewe.
Yaani asilimia ndogo sana wanawaume zao baasi, hawa 1970 hadi 1990, hawa wa 2000 kuja 2010 asilimia kubwa wana...
Kati ya mwanaume na mwanamke, nani hupitia maisha ya tabu zaidi ndoa inapovunjika? tukitazama hali halisi ya maisha ya Watanzania, ukweli unauma: wanawake wengi wanakosa uhuru wa kiuchumi...
Raha ya mapenzi ni miguno na sauti laini kutoka kwa mwanamke , mwanamke asiyetoa miguno hajafundwa uyo na ni mshamba wa mapenzi. Uko telegram watu wananunua video za majamboz si kwamba ni nzuri...
Muda mfupi mke wangu akiwa usingizini alikua anaweweseka sijui ni kuota kwa sauti,basi akasema uuuu! Uuuu huo mpira umepasuka huo.
Sasa wakuu hiyo kauli imenishtua kidogo isiwe ndo akili...
KITUNGUU SAUMU kinamsaidia vipi muathirika wa nyeto ππΌ
Kitunguu saumu kina allicin, kiambata kinachosaidia mzunguko mzuri wa damu kwenye viungo vya uzazi. Kuwa na mzunguko mzuri wa damu kwenye...
Hili halihusiani na wanawake kurudi kujifungulia kwao, ni wanawake wanaotaka kurudi kwao moja kwa moja.
Ndugu wana nafasi yao kubwa sana lakini ndoa ni muungano wa mume na mke kuunda maisha yao...
Yule bar maid ameniachia gundu kusema ukweli aisee kwanza alikuwa na shape amejazia kwenye hips aisee si mnene ni model fulani hivi ila alikuwa amejazia kwenye hips aisee yule bar maid tulienjoy...
List ni ndefu ila nitataja vichache vingine wataongezea wengine hapo chini.
1. Mshahara Wako.
Mkeo hapaswi kujua wewe unapokea Mshahara kiasi gani. Fanya unavyofanya usije ukathubutu ukamwambia...
Unaweza kuoa mama mwenye mtoto wa mwaka mmoja, halafu miaka 20 baadaye mtoto anakuambia: "Wewe si baba yangu" πππ.
Mnaotaka kuoa singo maza kaujumbe hakoo
Japo siyo wote ....
Ogopa kuanzisha mahusiano na mwanamke mwenye miaka 30 na kuendelea afu ukute ana mtoto achana naye mara moja wengi wapo kimkakati.
Awanaga mapenzi hao umri wao wa kupenda ushapita wanataka tu...
Kwa majina naitwa Emma (Sio jina langu halisi), nina miaka 30 sasa nina mke na mtoto mmoja - Maria (sio jina halisi pia). Nampenda sana binti yangu, yeye pamoja na mke wangu ndio sababu ya mimi...
Unakuta kabisa mwanamke amegangamala na li jamaa halieleweki livuta sigara,lilevi,mijasho kila wakati na ubeberu wa haja. Mwanamke anajiremba vizuri ila usiku linampanda lijamaa la dizaini...