Kichwa kinaniumwa toka majina ya wadaiwa wa Mikopo yatolewe. Najisikia kizunguzungu tu kila wakati ni kama nataka kuzimia,kufa au kupoteza Fahamu.
Nina binti mmoja ambaye amenisumbua sana mwaka...
Ni mpaka uishi hayo maisha ndio unaweza kupata hisia halisi za hii mada.
Hapa nazungumzia wale wazazi kwa sababu zozote zile waliwatelekeza watoto wao udogoni na kuja kuonana nao ukubwani.
Hapa...
Asilimia 97% kwa ulewa wangu wa mafumanizi yote niliyoyaona mwanamke huwa hapigwi mwanaume ndo wa kupiga.
sasa kama wote wana makosa kwanini wasivunwe pengine hata mwanamke achomwe moto sababu...
Huwezi kuamini jana nimelazimika kumkimbia demu hivihivi wakati tulikuwa katika hatua ya kutaka kuduu, kwani wakati tukifanya foreplay pamoja na mambo mengine si nikajaribu kuingiza kidole katika...
Habari wana JF,
Naomba niwashirikishe hili kwa uchache.Itasaidia kiasi fulani.
Yawezekana nimepost hili kutokana na woga wangu lakini nimeshuduhudia visa vitatu vinavyofanana katika mahali...
Kupenda kulala (kutembea au kufanya ngono ) na wapenzi wao hasa vichakani/ maporini au mafichoni / ila nje ya nyumba zetu au katikakatika magari yao na wengine ndani ya maji ya bahari hasa huku...
Habari za siku wadau,
Mwenzenu hivi nimepata kibarua kigumu cha kuuguza mzazi. Nina wifi yangu kiumri ni kama anamiaka 25 huyu amejifungua kama ana siku 14 hivi,alisaidiwa na Dr mmoja mkaka na...
Wiki kama nne hivi zimepita niliomba namba ya msichana ambaye ninasoma naye chuo fulani hapa town. Baada ya kupewa ile namba nilikaa kama siku 9 hivi sijampigia maana nilikuwa nakosa confidence...
Nimewakuta majirani na ni marafiki na wife wanapiga stori, et aa siku hizi kuna ndoa? Siku hizi bwana usipochangamka shauri yako, siku hizi hakuna wanaume ni magumegume.
Siku hizi inatakiwa...
Jambo hii nimeshindwa kupata ufumbuzi, ni ukweli usiopingika kuona baadhi ya familia zina watoto wazuri sana (afya, sura, maumbo na muonekano) lakini kuna baadhi unaweza sema kama mtoto ndio hawa...
Mwanamke miaka 33 natafuta mume ambaye yuko serious kuanza maisha ya familia pamoja,awe na sifa zifuatazo.
umri kuanzia miaka 33 hadi 40
awe Mkristo
Elimu kuanzia bachelor degree na...
Amani ya Bwana iwe kwenu watu wa mungu!
Ivi wakuu,kinachowafanya hawa wanawake wanene kuwa ving'ang'anizi namna hii kwenye mapenzi ni nin?kuna ambae nilikutana nae mwanzoni mwa mwaka huu...
Wasaalamu wandugu na majamaa nipo kwenye wakati mgumu sana sasa hivi kimaisha....................kiasi kwamba najiona kama mtu aliyekosa raha maishani....najikuta muda mwingi nipo mpweke na mwenye...
Hamnaga kitu kibaya kama kuitwa baby na mtu ambaye hana kazi. Kinachotokea ni yeye kujiajiri kama Chief Muingiliaji Officer, kazi
kuingilia maisha yako kwa maswali kila dakika kwa sababu hana...
Eti wana JF ni tabia ipi mbayo aliyonayo mkeo/mumeo/mpenzi wako ambayo huipendi na uwa inasababisha ata uchelewe kurudi home kisa iyo tabia?
Mi sipendi tabia ya kuzira kila muda.
Hello!
Mimi ni mwanamke
Umri 34
Mkristo
Mtumishi wa umma
Elimu ya juu(degree)
Sijawahi kuzaa koz sijaolewa.
Natafuta mwenza awe mkristo, umri 35 mpka 50, awe mtafutaji karibu