Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mimi in kijana wa Kitanzania na tafuta msichana wa kuoa tukiridhiana awe dini yeyote awe mywaji kidogo elimu Form six, chuo. Aliye tayari ani PM tutawasiliana zaidi popote alipo nitamfuata
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Ukweli kila binadamu anapenda kupendwa,,au kukubalika na jamii inayomzunguka, lakini tunaweza jikuta katika mazingira watu wengi hawakupendi au unachukiwa na watu wengi. Mpaka kufikia hatua ya...
3 Reactions
31 Replies
8K Views
Natafuta mke mwema, mcha mungu mlutheri, mchagga, mweupe, awe anashughuli zake binafsi au ameajiriwa, awe na elimu ya kidato cha 4 tu na si zaidi. Awe tayari kuanza maisha kuanzia ngazi ya chini...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Nna miaka 27 natafuta mchumba mwanamke mwenye akili ya kawaida tu ya kuwa mama...ataevutiwa ni pm Mawasiliano tulidhiane tufanye maisha
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Kila kukicha malalamiko kuhusu nguvu za kiume yamekuwa yakiongezeka, kundi kubwa la hawa watu wamekuwa ni wanaume wa mjini, hii ni kutokana na kwamba wanaume wengi wa mjini ni wabishi kufata hali...
3 Reactions
50 Replies
12K Views
Hi,, natafuta marafiki wa kuchati jinsia yoyote ile!! umri 18-22 ila awe msaarabu kama mimi!! my phone numberz 0758082840
0 Reactions
15 Replies
2K Views
MADA HII IMEFUTWA RASMI 27-05-2016 SAA 14:06 MCHANA
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Nimesoma thread ya Wiyelele anatafuta msaada wa nini afanye ampate mtoto wake aliezaa na mke wa mtu..imenishangaza jinsi wanawake wengi walivyomtaka 'asamehe na kusahau' inavyo onekana kwa...
30 Reactions
159 Replies
15K Views
Ukiona Mwanamke anaanza kuimba mashairi ya taarabu ndani ya nyumba ujue ni dalili za kukuchoka!, tena anaimba mistari mikali mikali. Yaani kila ukirudi unakutana na mistari mipya. Wadau...
3 Reactions
62 Replies
11K Views
Wapi kuna madanguro yanayofunguliwa mchana jijini Dar. Yenye bei rahisi nataka kufanya research!! Leo!!j
0 Reactions
25 Replies
33K Views
MTUNZI: HUSSEIN KULINDWA SEHEMU YA KWANZA MARA baada ya kumaliza kupata chakula cha mchana, alielekea chumbani kwake kujipumzisha. Huko alipumzika kitandani huku akiwa amefungulia radio yake na...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
TAFADHALI kama una moyo mwepesi usiisome) "Nilipofika nyumbani usiku ule, mke wangu aliponitayarishia chakula, nilimshika mkono na kumwambia, Kuna kitu nataka nikwambie. Mke wangu alikaa chini na...
2 Reactions
51 Replies
6K Views
Wakuu bado kupata natafuta mwanamke niwe nakutana nae siku za wee end natanguliza shukran
0 Reactions
1 Replies
982 Views
Jamani habari za muda huu, nimeona ni wahusishe katika hili hasa baada ya humu jukwaani kuwepo na stori mbili tatu za wadada wakilalamika kuhusu wapenzi wao wa kiume kubadilika hasa kipindi cha...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Siku moja kaka huyu alimpata kike na baada ya kumsedusi kwa maneno matamu ya kumtoa nyoka pangoni ayasikilize, walipanga date ya ngono na kuagana wangeshambuliana kwa huyo mwanadada. Kaka kusema...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Ndugu zanguni, ili kufanikisha furaha ya chumbani ni lazima chakula bora kiwe kinahusika. Kuzingatia matatizo ya lishe tuliyonayo hasahasa kutokana na vyakula vyetu kuwa na upungufu mkubwa wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Enzi za Jando Na UnYago Wazee Walisema Mwanamke Anahitaji Malezi Makubwa Sana Ya KUthaminiwa Zaidi YA Yai Jitahidi Kumpenda, Kumheshimu, Kumbembeleza, Kumjali, Kumsikiliza, Kumsamehe Makosa...
0 Reactions
10 Replies
116K Views
Kijana mmoja aitwaye Dan aliyekuwa kapata mafanikio mazuri katika biashra yake alichukiwa sana na rafiki yake.. Rafiki yake alimwomba amkopeshe fedha jambo ambalo Dan alilifanya bila kinyongo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habarini wanajamvi. Niko na stress sana this is the second time in my love life . Naona hiki kitu kinajirudia rudia Katika maisha yangu. Mara ya kwanza nilikuwa na mahusiano yaliyodumu kwa...
2 Reactions
66 Replies
6K Views
Nimejisikia kusema hivi Wakati namaliza form 4 baba yangu alisema elimu niliyonayo inatosha hawezi kusomeshea mwanaume Mke. Nililia sana kidogo nijiue. Mwishowe mama yangu akanitoa nyumbani...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…