Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari Wana JF.Ni kijana wenu nimekuja Tena kuleta experience yangu ya kuishi na mama mpaka umri wangu huu wa utu uzima.Bila kuwapotezea muda niliyoyagundua ni haya kutoka Kwa Mama na Baba japo...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Kijana mwenzangu mwenye ndoto kubwa sana huko mbeleni, naomba nikueleze mambo ambayo yanaweza kukusaidia sana na kukupunguzia vikwazo pale unapotaka kutimiza ndoto. Ninayasema haya nikiwa ni mmoja...
169 Reactions
923 Replies
68K Views
Mambo vip, Nataka niende straight kwa point, Iko hivi nimekua na changamoto ya kutokuachwa kirahisi na mademu zangu kiasi ambacho washkaji wananiulizaga ni mbinu gani natumia mpaka huaga...
26 Reactions
208 Replies
8K Views
Km kichwa cha mada kinavyojieleza ningependa nieleze kwa ufupi sana sababu mimi sio mwandishi mzuri. Lakini ningeanza na wanawake mjitafakari sana mnapoingia kwenye mahusiano. Ipo hivi unakuta...
7 Reactions
22 Replies
1K Views
Kwa sasa hata marafiki zangu wa karibu waliokuwa wananishauri kuhusu mahusiano yangu wakiniona wanaanza kukohoa kama sio kucheka kama mimbuzi Yule wa juzi nilimfuma koridoni akiwa kwenye mzio...
7 Reactions
11 Replies
778 Views
Holla, For those who have fast, happy ash day and for those who are celebrating happy valentine day. I have a message for my endless love... A message in terms of song. And it pop up I'm my mind...
4 Reactions
11 Replies
977 Views
Hallow tujipongeze kuwa wanaume. Hivi ni mbinu gani huwa unatumia kumtoa demu wako au mpenzi wako kwa lugha nyepesi. Kama ikiwa amefikia mahali ambapo sio kitandani na kumpeleka panapohusika ili...
8 Reactions
114 Replies
11K Views
Habari, Kwa masikitiko makubwa baada ya kugundua mke Wangu anamahusiano mengine na kuamua kuondoka baada ya ugomvi mkubwa. Sasa tukiwa naprocess kumpa talaka na mimi nikiwa nimebaki na watoto...
56 Reactions
547 Replies
46K Views
Ni kwasababu muda mwingi kuna interactions na wanaume wengi Nurse / nesi - madaktari na wagonjwa hawaoni ni vinara wa kusumbua wake hawa za watu. Mama ntilie - meseji za mafundi gereji, mafundi...
3 Reactions
11 Replies
544 Views
Habari wadau poleni na majukumu Mimi ni kijana wa 27 ,ni entrepreneur Ninaishi dar lkn muda mwing naenda polini ni chaka tu chaka nanunua Gold ,Elimu yang Degree. Nina changamoto ya kimahusiano...
5 Reactions
48 Replies
2K Views
Habari zenu? Mimi ni member mkongwe humu.Nimebadili ID baada ya Id yangu ya zamani kubadilishwa password na 'kutekwa' na mwanamme alokuwa Mpenzi wangu. Sitopenda kuitaja kwa kuwa ameshabadilisha...
12 Reactions
143 Replies
10K Views
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana, Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu, Toka nianze maisha ya uchumba mimi na mke wangu sasa ni miaka ya pata 4 lakini toka tuoane ni miaka miwili...
8 Reactions
191 Replies
16K Views
Kwa muda nlikuwa kimya nikifanya utafiti wa styles mbalimbali za ujenzi wa Taifa. Taifa linajengwa kwa namna mbalimbali miaka ya uhuru imagine tulikuwa kama Milion 9 hivi. Sasa? 60 plus Milion...
47 Reactions
103 Replies
6K Views
Ni kasumba iliyoshamiri siku hizi vijana kujichanganya na kuoa mabininti ambao kimsingi wameharibika. Tabia zao si za mke wa ndoa tena wana sifa zote za usela. Unapooa mwanamke wa sampuli hii...
57 Reactions
228 Replies
22K Views
Leo ikiwa ni siki ya wapendanao kwa upande wangu nimekua nikikumbuka mengi . Kubwa nakumbuka siku kama ya leo nilikua na mpenzi wangu kwaajili ya kuadhimisha siku hii tulifanya mengi na mwisho wa...
4 Reactions
29 Replies
4K Views
Hivi wale wasiokua na wapenzi kama mimi siku ya Valentine tutakua tunafanya nini. Natamani ningekua na mtu sehemu tule tunywe halafu tuende sehemu mbali beach tukae tuongee tudanganyane tuambiane...
42 Reactions
383 Replies
28K Views
Mwanamke ambaye hajabarikiwa Nyuma awekeze katika Kutafuta pesa sana tofauti na hapo hali sio nzuri Ahsante
6 Reactions
36 Replies
1K Views
Ni mdada tuliekua tunaishi nae mtaa mmoja, kwa wale wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo alikua amefanana sana na huyu Nikiwe Sibeko, na jamaa yake tulikua tunafahamiana. Mimi ndio kwanza nilikua...
11 Reactions
23 Replies
3K Views
Kuna binti alimfanyia kiburi rafiki yangu mpaka wakatemana kwa dharau na maneno ya kejeli ya kutosha. Binti akawa anapigwa mbupu kama mpira wa kona kila mtu anatembea nae. Leo asubuhi mida hii...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za jioni hii wana MMU, baada ya shughuli ya siku nzima nimekuja tena kwenu hapa! Ee bwana ishu ya leo ni huyu binti ambae kwa sasa ni mpenzi/demu wangu, nimekuwa nae kwa miaka kama mi 4...
8 Reactions
154 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…