Valentine Day: Wasio na wapenzi watafanya nini?

Valentine Day: Wasio na wapenzi watafanya nini?

Mzigua90

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2014
Posts
38,402
Reaction score
88,872
Hivi wale wasiokua na wapenzi kama mimi siku ya Valentine tutakua tunafanya nini. Natamani ningekua na mtu sehemu tule tunywe halafu tuende sehemu mbali beach tukae tuongee tudanganyane tuambiane tunapendana.

Usingle kazi sana.
 
Hivi wale wasiokua na wapenzi kama mimi siku ya Valentine tutakua tunafanya nini. Natamani ningekua na mtu sehemu tule tunywe halafu tuende sehemu mbaaali beach tukae tuongee tudanganyane tuambiane tunapendana. Usingle kazi sana.
Weee si umeshanikubali kule kwenye pm kwamba nikuhonge magunia 50 ya mahindi ndio nikuoe? Unatafuta nini tena huku?
 
Hivi wale wasiokua na wapenzi kama mimi siku ya Valentine tutakua tunafanya nini. Natamani ningekua na mtu sehemu tule tunywe halafu tuende sehemu mbaaali beach tukae tuongee tudanganyane tuambiane tunapendana. Usingle kazi sana.
Ooohhh, pole me mwenzio me mwenzio me mwenzio me mwenzio me mwenzio.....nanananana..........mimi sina ntu....
 
Na wewe kwa nini unakuwa single ilihali we ni mzma na sio maiti?? Yaani nikifa nizikwe nikiwa single na hata nikiwa hai pia niishi single?? Kisa na mkasa?? Hiyo ni dhambi kubwa sana unafanya ni bora tu utafute bwana,wanaume mbona tupo wengi sana??
 
Back
Top Bottom