Dogo uliniuza kuchapiwa ulistahili

Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Sep 10, 2017
10,561
19,056
Ni mdada tuliekua tunaishi nae mtaa mmoja, kwa wale wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo alikua amefanana sana na huyu Nikiwe Sibeko, na jamaa yake tulikua tunafahamiana. Mimi ndio kwanza nilikua nimeoa kama miezi mitatu hivi na huyu binti akiniheshimu kama kaka.
Kunasiku tulikua tunapiga soga na jamaa katika grocery ya karibu huyu binti akawa amekuja kununua vinywaji take away. Mimi nilimsifia kwa wale jamaa kwamba demu katulia sana na ni wife material kwa maoni yangu. Mwana maskani mmoja akanikata kauli akasema huyo mtoto mbona maharage ya Mbeya ni pesa yako tu, na kila mtu akawa na maoni tofauti kumhusu yule dem. Jamaa mmoja kama mimi akimtetea, huku mwingine akiungana na yule aliekua anampondea. Ilikua kama mazungumzo ya kupitisha muda tu na I didn't take anything seriously na hata mtazamo wangu kwa huyo binti haukuathriwa na mazungumzo yale

Siku moja nikiwa nisafisha viatu kwa shoe shiner sehemu fulani karibu na hoteli moja nikamuona yule jamaa aliekua ameungana na mimi kumteteta yule demu siku ile pale grocery, anatoka hotelini na baada ya kama sekunde thelathini akafuatia yule dada wakaingia kwenye gari wakaondoaka. Nikachekea tumboni tu kwa kujua yule jamaa aliekua anamtetea siku zile ka,a mimi aliamua kulifanyia kazi taarifa za maharage ya Mbeya na kafanikiwa.

Siku nyingine kuna Mzee mmoja alikua kiongozi mkubwa wa TFF(FAT) wakati huo ambae pia tukikaa mtaa huohuo akanifata kwenye shughuli zangu(alikua rafiki yangu sana japo kiumri ni sawa na baba yangui). Akanieleza masikitiko yake kuhusu huyo dada Suzan(sio jina lake halisi). Akasema mwane wa kumzaa alirudi kutoka Sweden na alikuja kumposa Suzan na walikua wamepeleka barua ya uchumba kupitia kwa jamaa mmoja waliemchagua kua mshenga, na walikua wanasubiria jibu ili wawataarifu watu
Akasema siku moja asubuhi anatoka mazoezini akapita tu nyumbani kwa mshenga wa mwanae kuna jambo ampe maelekezo, anasema alipogonga mlango akafunguliwa na Suzy kapiga kanga ya kifua! Kwa ufupi uchumba na mwanae ukaishia hapo.
Sasa baada ya muda kuna jamaa mmoja nilimuacha chuo miaka miwili, akaja home na kaka yake wakinitaka ushauri wanataka kumposa Suzy.Kaka yake tulicheza pamija utotoni. Baada ya kujihakikishia kwamba hawakuwahi ku date before basi mimi nikafunguka maoni yangu kwa nia safi hasa ya kujenga, nikawaeleza meengi kisha nikawaambia maamuzi mnayo wenyewe, wakaondoka, siku ikapita.

Baada ya siku chache tabia ya Suzy kwangu ikabadilika. Akawa ananiangalia kwa jicho flani hivi la dharau na hata salamu akawa hanipi tena, machale ya kaanza kunicheza kua yele dogo kaharibu, atakua kanichoma . Siku moja nimemaliza kuangalia mechi ya chama langu Liver kwenye ile Grocery ya jirani na home nikaona niagize kabisa chakula maana wife alikua ameenda msibani nje ya mji ana shemeji yangu wa kike alikua yuko shule.

Nilikua nimekaa meza ya kujitenga mbali kidogo na watu na baada ya muhudumu kuchukua tu order yangu na kuondoka ghafla nikamuona Suzan kanisimamia mbele yangu akiwa kashika chupa ya kilevi sikumbuki ni pombe gani, akanisalimia nikamuitikia japo sikua najiamini! Kwa dakika kama kumi hivi alikua anatiririka malalamiko kua nimemuharibia maisha yake, alikua ananisheshimu sana ila amenishangaa mtu kama mimi kufanya kitendo kama kile. akaeleza mazungumzo yoote kati yangu na yule dogo tena mengine neno kwa neno. japo kidume nilikua napangua kwa kukataa lakini kijasho kinanitoka kwa kisuto cha ukubwani!

Mara nikamuona muhudumu anakuja na chakula changu, akili yangu ikaona fursa na nikajiambia maliza hii kesi fasta, oshesha ubingwa na uzoefu wako, nikasema subiri, nikamwambia Suzy nikwambie ukweli akanijibu nakusikiliza, nikamuomba akae, akavuta kiti akakaa. Muhudumu alikua ameshaweka chakula anataka kuondoka nikamwambia dada chukua hela yako kabisa. Akanitajia bill ambayo haifiki elf kumi.

Kwa ujanja wa kihenga nikachomoa kutoka mfukoni bulungutu la pesa lililo changanyika na dollar za marekani na wekundu kadhaa, nikaweka juu ya meza zikaonekana barabara na Suzy na yule mhudumu, nikajifanya nimekosea nikazirudisha, nikachomoa kutoka mfuko mwingine wekundu watupu bado hakukua na hela ndogo nikazirudisha, basi nikavuta wallet ndio nikampa hela yake halafu nikamwambia alete chupa nne zingine ya kile kinywaji alichokua anakunywa Suzan, mtoto kwanza akajifanya ana resist halafu baadae akasema aletewe mbili. Muhudumu alipoondoka nikatwist kidogo mazungumzo na yeye aka respond kwa kuchangia....nikabadilisha mazungumzo na tulikua tunarudi kwenye ile mada mara chachechache. Alipoletewa kinywaji chake tukawa tupo kwenye mazungumzo mengine kabisaa na this time ilikua ni kumsifia kwa kwenda mbele na kwamba siku nyingi nimemtamani lakini alikua hashikiki, mtoto akalainikaa ingawa ni kwa ajili ya kuona yale maburungutu, ukichanganya na pombe maana aliongeza.

Mwisho wa siku nilikua sina namna ila kuenda kula tu mzigo kroho safi kwanza kumaliza hasira zangu kwa dogo na pili kufuta kesi huku nikimkaririsha maneno ya kumponda yule dogo(za kihenga hizo jamani). Nakumbuka nilirudia kupiga kama mara mbili baada ya siku ile then nikafunga vioo ila yale maneno yaliisha. Yule dogo alikuja kumuoa ila ndoa nadhani haikudumu zaidi ya mwaka, na mimi nikasema alistahili kuchapiwa kwa sababu aliniuza kirahisi sana
 
Nimecheka kinoma ,ukawa unapangua hoja, ila kijasho kinakutoka kisuto cha ukubwani, .
Mhenga kiasi cha Pesa ulichokua siku hiyo +pombe ibilisi ilikusaidia
 
Kuna rafiki yangu tena kipenzi sana.yaani hatukukutana barabarani.ni rafiki kupita kiasi hadi akawa ndugu yangu.
Haya siku ya siku kaja na lidem moja hivi ofisini kwangu kunitambulisha kwamba ni mchumba wake.khaaa demu lenyewe limeniona likashtuka na jinsi alivyotambulishwa kuhusu mimi na tulivyoshibana.lile demu nalijua liuzaji sasa mshkaji nae ndo anaonekana kalifia daahh anyway nikapotezea hadi akamvalisha pete siku zikaenda.pembe halijifichi demu akatoka makucha kwanza jamaa akamfuma demu.demu akampa makavu jamaa ndo kukimbilia kwangu kunieleza na mi bila khiyana nikaanza kumpa nje ndani kuhusu huyo manzi wake alivyokuwa anamegwa na waskaji zangu na masela wengine!khaaa si ikapita km wiki wakarudiana tena mapenzi motomoto siku ya siku demu anakuja ofisini kanishkia kiuno "enhee unasema mi nauza lini nilikuuzia?""nilishikwa pabaya mbele za watu ikabidi nijiokoe tu kusema nililewa sana nikalopoka.
Daahh nikasema kuanzia leo hata nione kitu kwa mshkaji sisemi
 
Yani usiseme wala kuchangia mapenzi waachie wenyewe
 
Nimecheka kinoma ,ukawa unapangua hoja, ila kijasho kinakutoka kisuto cha ukubwani, .
Mhenga kiasi cha Pesa ulichokua siku hiyo +pombe ibilisi ilikusaidia
Yaani nilitumia formula kama ya Ras Simba, N+T+S......mwenyewe anakwambia usipoelewa kiinglishi labda ukazaliwe tena ulaya
 
Kuna rafiki yangu tena kipenzi sana.yaani hatukukutana barabarani.ni rafiki kupita kiasi hadi akawa ndugu yangu.
Haya siku ya siku kaja na lidem moja hivi ofisini kwangu kunitambulisha kwamba ni mchumba wake.khaaa demu lenyewe limeniona likashtuka na jinsi alivyotambulishwa kuhusu mimi na tulivyoshibana.lile demu nalijua liuzaji sasa mshkaji nae ndo anaonekana kalifia daahh anyway nikapotezea hadi akamvalisha pete siku zikaenda.pembe halijifichi demu akatoka makucha kwanza jamaa akamfuma demu.demu akampa makavu jamaa ndo kukimbilia kwangu kunieleza na mi bila khiyana nikaanza kumpa nje ndani kuhusu huyo manzi wake alivyokuwa anamegwa na waskaji zangu na masela wengine!khaaa si ikapita km wiki wakarudiana tena mapenzi motomoto siku ya siku demu anakuja ofisini kanishkia kiuno "enhee unasema mi nauza lini nilikuuzia?""nilishikwa pabaya mbele za watu ikabidi nijiokoe tu kusema nililewa sana nikalopoka.
Daahh nikasema kuanzia leo hata nione kitu kwa mshkaji sisemi
Hahahaaa, pole mkuu...mimi toka ilivonitokea miaka hiyo mtu akinitaka ushauri kuhusu dem sijui mchumba ni kumfagilia tu kwa kwenda mbele, tena namjazia na sifa zingine ambazo hata hastahili waende wenyewe wakashindwane mbele ya safari. Bahati nzuri wakizinguana wala hautakuja laumiwa wewe, wataona tu hawaendani basi, kila mtu atashika njia yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom