Tuambiane Hapa ni maneno gani alishawahi kukuambia mpenzi wako wakati waku Duu yakakukata stim.

Bm_boy

JF-Expert Member
Oct 21, 2013
545
346
Leo ikiwa ni siki ya wapendanao kwa upande wangu nimekua nikikumbuka mengi .

Kubwa nakumbuka siku kama ya leo nilikua na mpenzi wangu kwaajili ya kuadhimisha siku hii tulifanya mengi na mwisho wa saa tuliishia kwenye gemu. Sa muda wa gemu ndipo uchungu wa sikuu hii ulipo anzia..
Game ilinoga sana coz watu tulikua tumeipania ila kufika kati kati katika zile hali za kunogewa Alianza kuongea maneno kibao ila kubwa ni pale aliponiambia bby nisamehe nilikusaliti mara moja ila sitarudia tena.. Daah.. Stimu zote zilikata,, kilichofuata najua mwenyewe..

Ebu tuambiane hapa wewe ulikutana na maneno gani yakukata stim kati kati ya game.!
 
Game ilinoga sana coz watu tulikua tumeipania ila kufika kati kati katika zile hali za kunogewa Alianza kuongea maneno kibao ila kubwa ni pale aliponiambia bby nisamehe nilikusaliti mara moja ila sitarudia tena.. Daah.. Stimu zote zilikata,, kilichofuata najua mwenyewe..
Ungeendeleza story!..ujue yaliyomo ohoo!!.
 
Valentine ya mwaka jana nilipata demu mpya na tulienjoy hotel moja hapa jijini Dsm na baadae uwanja wa maangamizi. Baada ya maadalizi mafupi nikaanza ingiza gegedo langu taratiibuuu mara nikaanza sikia matusi hatar mpaka kiungo cha mama kikasemwa ila kwa kihaba fulan hiv. Mademu achen kutukana muda wa mgegedo mnatupotezea steem
 
Duuh.. Huyu utakua ni wale madem flani ivi wanajifanya wasela.
 
Back
Top Bottom