Mke wangu anataka nimsujudu kila akitoka kazini anataka niwe nampokea mkoba, ndoa yangu iko matatani

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,895
25,944
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana,

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu,

Toka nianze maisha ya uchumba mimi na mke wangu sasa ni miaka ya pata 4 lakini toka tuoane ni miaka miwili sasa na hatujabahatika kupata mtoto hata mmoja.

Zamani nilikuwa naishi vyema sana na mke wangu yaani hakuwa na kiburi kama ilivyo sasa, hali imebadilika sana nikiwa naongea na mke wangu yaani huwa anaongea kwa ukali ukali tu wakati mimi naongea sauti ya chini.

Anakuwa ananifokea hata mbele ya watu bila huruma, kila mda ana dai kachoka ila akitoka kazini anataka mimi ndo nimpokee mkoba wake, kazidi sasa nisipo pokea anatupa chini anataka mimi ndo niingie nao ndani.

Nataabika sana kwakweli jamani, kuna baadhi ya kazi za kike mimi ndo anakuwa ana nishurutisha kuzifanya.

Wakati kipindi mimi nikiwa na kazi alikuwa hanifanyii yote haya sasa baada ya mimi kusimamishwa kazi ndo amekuwa mwiba kwangu jamani, kitu ninachopata bila usumbufu ni papuchi pekee yaani yenyewe tena ikibidi kila siku.

Naombeni ushauri wenu

LONDON BABY
 
Pambana! Kwani ukimpokea mkoba kiroho safi kuna ubaya gani!? My wife wako katoka kazini kajichokea kumpokea kimkoba unaleta shauri kwenye baraza la wazee?

Ukipata kazi mtashea mchoko wa ajira lakini kwa sasa tii sheria bila shuruti.
 
we jamaa bana!
 
Sheria fupi nakupa ... Mwanamke ukishindwa kutrig primary insta attraction yake hatokaaa akupe muda wakuongea naye sanaa....
Lkn ukifaulu hiyo ,Hata km nimara yakwanza kukutana yeye atajikuta anataman Kuongea nawewe muda wote... Otherwise atakuambia Am busy

Alafu acha ujeuri usokua namaana ,mwenzako katoka kazin kachokaa mkoba wenyewe anauona mzigo ,,kwann usimpokee nakumpa pole ???? Alafu usikute pia ,,,bado chakula umengoja akupikie ,, ivi KWELI yeye nirobot????

HAPO lazima mgombane tu.
Asante kwa story nzuri.
 
Pambana! Kwani ukimpokea mkoba kiroho safi kuna ubaya gani!? My wife wako katoka kazini kajichokea kumpokea kimkoba unaleta shauri kwenye baraza la wazee?

Ukipata kazi mtashea mchoko wa ajira lakini kwa sasa tii sheria bila shuruti.
Poa mkuu asante sana nashukuru kwa ushaur wako
 
Back
Top Bottom