Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wana Mmu Nahtaj Mawazo Yenu,naitwa Mary Nilikuwa Na Mpenz Tulipendana Xan,tumekuwa Pamoja Kwa Mwaka Xaxa.Tulivumiliana Xana.Alitaman Xana 2pate Mtoto Ila Nahisi Mungu Hakupanga Akahc Labda Natumia...
0 Reactions
74 Replies
7K Views
Habari za jioni wana MMU? Siku hizi kumeibuka wimbi kubwa la upakaji na utumiaji wa LIPSTICK, mara nyingi tumekuwa tukiipaka kwa wingi "kuikoleza" tunapoona imepungua, nahisi kupungua kwake...
5 Reactions
126 Replies
19K Views
Hi all, I'm a single gentlemen, social, energetic, hardworker with vision hereby looking for a single lawyer to initiate a relationship with intention to create a Domestic relationship. The...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu miaka 28 si midogo, baada ya uvumilivu wa muda mrefu hatimaye Mungu amenifanikisha kuingia katika taasisi ambayo vijana wengi wanaiogopa(ndoa) Kwa ufupi mimi na huyu mwenzangu tumedumu...
4 Reactions
103 Replies
8K Views
Wazee hope mko pouwa. Kwa kitambo nimekuwa busy na mchakato ya maisha so two months iliyopita nimerudi jukwaani niliyoyakuta ni aibu hata kuwaeleza. Sorry mwanzoni nilikuwa nadhani nimeingia...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Je ni kweli kama mwanaume ni bikira ni lazima amwoe mwanamke bikira? na je bikira ni tiketi ya ndoa imara? Je kisaikoloj
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nina mtoto wa kiume ana maiaka 6 karibia 7 bado miezi kama mitatu. Naweza kusema tangu amezaliwa amekuwa tofauti sana na wenzake waliomtangulia. Niligundua kuwa ana uwezo zaidi kuwashinda wenzake...
11 Reactions
342 Replies
44K Views
Mimi ni mwalimu kijana wa kiume natafuta mwalimu wa kiki mwenye umri uzio zidi miaka 25 kama upo tayal nicheck p.m
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hii ni kweli na mara kadhaa nimelithibitisha hilo mie mwenyewe. Kuna mdada humu MMU anapost sana mabandiko, kumbe ni mke wa jamaa yangu wa karibu. Mandhari ya tukio inaonekana Ilikuwa hivi...
0 Reactions
58 Replies
4K Views
Before you MARRY a lady, invite her for dinner, eat together & watch out for the following:- 1. If she starts eating the meat before you it implies that, she will plan for your salary/income...
0 Reactions
89 Replies
6K Views
Hey guyz!natafuta msichana wa kumuoa,sifa 4m 4 mcha Mungu mwaminifu mvumilivu wakuanzia 1990-> mwenye kuhitaji mawasiliano zaidi aninbox.
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Huwa nashindwa kuelewa mwanaume akimpa pesa mpenzi wake baadhi ya watu husema kamuhonga tu au inawezekana kuna kiasi fulani cha pesa ukimpa mwanamke inahesabika umempa kwa mapenzi yako tu na labda...
0 Reactions
61 Replies
9K Views
Juzi kati nilienda kijiji kwenye msiba wa babu yangu nikakutana na kamchepuko kangu ka enzi hizo za shule ya msingi bahati nzuri hajaolewa na anakaa mwenyewe pembeni kabisa na nyumba ya familia...
2 Reactions
75 Replies
12K Views
Nilikuwa nimechoka sana kutokana na yaliyotokea,hivyo nikiwa kitandani nilianza kuhisi usingizi mzito ukininyemelea.Mimi bila hila nikauruhusu uuchukue mwili wangu.Nikalala fofofo! Kuja kushtuka...
9 Reactions
78 Replies
167K Views
House boy mwizi wa wine ya baba na mama anamtetea kila mara Baba: akamwita house boy House: Niko jikoni baba ntaunguza chakula nikija huko Baba: Sawa basi nijibu ukiwa huko, nani anakunywa wine...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
  • Closed
Wanawake walioolewa humu wanaonekana wastaarabu,ila hivi vibinti vya humu MMU wengi wao wana midomo michafu wanaandika matusi fasta zaidi ya Eminem anayerap!. Halafu ukifuatilia threads zao...
2 Reactions
55 Replies
4K Views
Wanawake mwaka huu mtakiona cha moto kama huu mswada ukipita, maana mmechosha kuongea uongo na kuficha baba wa watoto. Unamkuta mdada ana mtoto miaka nenda rudi baba hajulikani! Ukimwuuliza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Umri wangu ni kati ya miaka 35 na 45 pato langu kwa mwaka ni kati ya tsh 30m na 60m natamani kupata dada/mama ambaye hataona shida kupata nae mtoto moja tu. Nataka atakeyependelelea awe na kazi...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Imekuwa kama ni fashion siku hizi jinsi wanawake wanavyovaa mitaani, yani mwanamke anayeonyesha zaidi viungo vyake ndo anaonekana anavutia zaidi, mfano , hua nawaona wadada wengi sana wanavaa mini...
3 Reactions
84 Replies
48K Views
Ninamchumba wangu ninaempenda sana,lakini tunashindwa kuelewana kwani tunasali madhehebu tofauti na amesema hawezi kutoka kwenye dhehebu lake. Je mi nifanyeje?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…