najiri akasogea kwangu na kunishika mabegani,ghafla mavazi mazuri ya rangi ya kahawia yaliposhuka na kujivika mwilini yenyewe,kwa kweli mambo yalienda mtindo wa mazingaombwe,ndipo nilipata ruhusa...
ninachosema kuwa maneno yale yaliyotoka kinywani mwa najiri yaliniacha kinywa wazi ni kwa sababu haiwezekani jini kuolewa na binadamu,najiri alizitambua fikra hzo ,na akadai amechagua niwe mume...
Jamani naombeni ushauri wenu, mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 20, naenda chuo mwaka wa kwanza Mzumbe University.
Nimepata mchumba toka nilipomaliza form four, kutokana na vishawishi vya...
>Moyoni sina amani, kama nchi za kiarabu
>Kifikra nipo utumwani, nafsi inapata adhabu
>Penzi lako kwa hisani, kupata bahati nasibu
>Nakesha madhabahuni, labda utakuja kutubu
>Roho yangu...
Fumanizi mwanza kitangiri dogo aaihidi kulipa fidia chini ya kiongozi wa mtaa chec tukio!!&
=============
MCHEPUKO!! Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Marck Costantine (24), mkazi wa mtaa...
Hatimaye leo imepitishwa sheria mpya Jimboni California katika juhudi za kupambana na ubakaji hasa katika vyuo.
Kiufupi ni kwamba kama mwanamke hajasema Ndio kwa maneno au kwa lugha ya...
Habari zenu Great Thinkers
Leo nimekuja naomba niwausie kitu ndugu zangu.
Katika mahusiano ya kimapenzi,kirafiki au kifamilia kupishana au kukosana ni jambo la kawaida lakini tusipende kuendekeza...
Natafuta mtoto mzuri anaejua namna ya ku enjoy mapenz awe na english figure,mweupe, collage au high school,christian,umri miaka 20-23 akinata na beat nikinata na beat basi ndio wife huyo....cause...
Heshima yenu wana jf,
Hili jambo nalifikiriaga sana na sijui ndani ya vichwa vya wanaume kuna nini, back to topic.
Ni hivi siku za nyuma kidogo nilikuwa na rafiki yangu alikuwa akiishi na mumewe...
Wakuu, kuna rafiki yangu nimefahamiana nae mda kidogo. Waligombana na demu wake kwa muda hadi hivi sasa yaani ugomvi wao ni wa kuendelea. Kwa wale watu wa computer programming tunaita infinite...
Mfano upo kwenye ndoa, na pengine binti uliyemuoa hana ndugu serious wa kumlea tena, hajasoma hivyo hawezi kupata kazi yenye maslahi, kwa kiasi kikubwa wewe ndio kila kitu kwake.
Ikitokea...
Nasema hivo kutokana na ukweli kuwa siku hizi mtu anaweza kutongoza au kutongozwa akiwa kitandani kwake hata kabla hajawahi kumuona anayetongozana naye.
Hata ukimwambia mtu wee njoo tu bila kuvaa...
Habari wanajukwaa.
Ningependa tushirikishane hili japo hatutapata ukweli kwa 100% lakini japo kupata picha kuwa kuna ukweli kuwa mwanaume linapotokea ambo huwa anashtuka kuliko mwanamke? Kuna visa...
I'll never forget the way you looked
When I saw you there that night;
The way that you just seemed to glow
In the warm and gentle light.
Many uncontrollable circumstances
have kept us...
Za hapa wanabodi?
Hope muwamaridadi,
Na hapa kwangu baridi,
Kwa amaani napumua.
Poleni kwa masimanzi,
Ya maisha na mapenzi,
Kwa waso kazi na penzi,
Mola atawaongoa.
Nisiwachoshe w'body,
Kwanza...
Ok JF, there is these babe I just got connected to, we've been getting along so well na wala sijafikiria kama yuko katika relationship na mwanaume mwingine until I decided to ask her.
BTW, I...
Habari zenu mabibi na mabwana nimekuja hapa kuomba maoni yenu ndugu zangu mimi ni msichana.
Kuna mkaka alikuwa ananipenda sana kimapenzi sema mimi sikuwa nimempenda, ikapelekea mutomkubali kijana...
Kuna demu 1 nilikuwa naye chuo, juzi nimekutana naye akaniambia kuwa tarehe 7 mwezi huu ni Birthday yake. Akaniomba nimnunulie zawadi, nikamuuliza zawadi gani utataka? Akaniambia zawadi yoyote...