hadithi ya nimeoa mwanamke jini inaendelea,sehemu ya tatu

hadithi ya nimeoa mwanamke jini inaendelea,sehemu ya tatu

Joined
Aug 27, 2014
Posts
43
Reaction score
11
ninachosema kuwa maneno yale yaliyotoka kinywani mwa najiri yaliniacha kinywa wazi ni kwa sababu haiwezekani jini kuolewa na binadamu,najiri alizitambua fikra hzo ,na akadai amechagua niwe mume wake na ameamini sitomsaliti,ama kweli ukistaajabu ya binadamu utayaona ya majini!kumbe nao wanaogopa kutendwa!baada ya maneno hayo najiri alitazama juu na kunyosha mkono wake wa kuume,na ndipo majini wote wazuri wa kila aina wakashuka wakiwa wamevalia mavazi meupe mazuri,waliposhuka wote wakainama chini,kumbe najiri alikua mkuu wa majini toka anakua,alinitambulisha kwa wenzake kwa lugha ya majini,na majini wote wakatikisa vichwa vyao kuonesha wamekubali,wakiwa wameketi chini najiri akaonesha ishara ya kuwasimamisha wazazi wake ,waliposimama najiri akatazama juu kufumba na kufumbua nikajikuta nimeshika pete ya ajabu mikonon mwangu,aliponitazama uson nikajikuta nikiwa na hamu ya kumvisha pete najiri mwanamke ambae alikua na uzuri ambao huwezi kumfananisha na binadamu yeyote,najiri akasogea taratibu kwangu,inaendelea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom