sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,324
- 2,494
Habari wanajukwaa.
Ningependa tushirikishane hili japo hatutapata ukweli kwa 100% lakini japo kupata picha kuwa kuna ukweli kuwa mwanaume linapotokea ambo huwa anashtuka kuliko mwanamke? Kuna visa viwili nitavielezea ambavyo vilithibitisha hili.
Kisa cha kwanza nilikishuhudia mwenyewe; mtoto wa miaka chini ya mitano aliachwa kwenye gari ndogo kaketi seat ya dereva, akajifungia kule kwenye gari na milango kujilock na ufunguo ulikuwa ndani ya gari pia na mtoto hajui kufuata maelekezo. Nilichoshuhudia baba alipanic sana hadi akaenda kulala, ila mama alitumia mbinu hadi mtoto akabonyeza sehemu pale kwenye ufunguo na mlango kufunguka.
Kisa cha pili nimesimuliwa na rafiki yngu siku ya harusi yao, wamefika ukumbini sherehe inatakiwa ianze lakini kukawa na tatizo la kucheleweshwa kwa keki ya unga. Hivyo wakiwa kwenye gari wanasubiri keki iletwe huku mawasiliano yanaendelea, kijana wa watu akawa amepanic sana.
Vipi wewe mwanajamii unalizungumziaje suala la kupanic linapotokea jambo kati ya me/ke yupi huwa anapanic zaidi?
Kuna kisa kingine mwanamke alipanic hadi akazimia alipotoka tu gest na mwanaume mwingine akakutana uso kwa uso na mumewe aliyepata taarifa akaamua kuja kumsubiria karibu na mlangoni! Bonge la fumanizi.
Karibu.