Nampenda msichana mmoja lakini yuko katika relationship na mwanaume mwingine...sasa ni fanyeje?

fazaa

JF-Expert Member
May 20, 2009
2,984
1,030
Ok JF, there is these babe I just got connected to, we've been getting along so well na wala sijafikiria kama yuko katika relationship na mwanaume mwingine until I decided to ask her.

BTW, I really like her personality, and I think she likes me too..siku zote tunawasiliana kwa njia ya simu, fb msgs etc.

Yani utani pembeni kakamilika kama wanawake ambao nao taka kuoa au nilie owa, ukitazama pande zote she is a good girl just that this guy met her before me sababu wanasoma university, katika same collage of medicine...Nataka kujaribu kumsahau kabisa katika moyo wangu, lakini kuna kitu najiuliza kuhusu huyo msichana....what if her present guy is not the right guy for her, and shes just tied down by the relationship?

I want to do the right thing but in this case I really don't know what is right, je ni wachane naye?

If I do, am I going to be a looser sababu she just happen to be wale amabao wana exist in my specification...Hajaposwa na mwanaume ambaye yuko naye sasa na wako pamoja kama miezi minane kama sijakosea kutokana na kauli yake yule msichana.

Hebu nipeni mawazo yenu nimtaifishe jamaa au niwache kwanza nione mwisho wao, naogopa huyo akakosa na mimi nikakosa, akaja mwingine ana maspeed kuliko yetu akamchukua jumla jumla.
 
hajaposwa lakini yuko kwenye uhusiano wa kimapenzi na huyo jamaa? nadhani kama unataka kuposa au kwenda hatua ya juu zaidi ya uhusiano wake wa sasa, you can give it a try... but kama ni mchafuzi tu, you better back off
 
kitu kikiwa na mwenzio daima unakitaka,ebu muache awe na huyo jamaa akishindwa utachukua wewe,sababu ukiyaingilia mapenzi yao na ameshakwambia kama yuko na mengine ujue utakua buzi tumia busara kufa na tai shingoni,usicheze nae mbali kama unampenda kweli usiwe fisadi wa penzi lake....
 
Dah...

Fazaa uko single still?
au unataka ongeza mke?
Nataka kushindana na babu yangu alikuwa na wake wanne....Mazee huyo wa pili mbona bado kuna kazi mpaa niowe, kila nikigusia gusia nyumbani wife anakuwa mkali kuliko sauti ya radu.

Lakini we wacha tu ikifika siku lazima niweke mke wa pili ndani, usisahau kuwa siasa za marehemu baba wa taifa Julias Kambarage Nyerere alikuwa akisema nini kuhusu Eid Amini uwezo wakumpiga tunao na nia ya kumpiga tunayo....sisi tugeuze kidogo tu lugha iwe hivi; Njia za kuwapata tunazo...Uwezo wakuwaoa tunao, na nia ya kuwaoa tunayo.
 
ha ha haaaa haya tusubiri tuone lol
 
ha ha haaaa haya tusubiri tuone lol
Kuna kazi mheshimiwa, siku nikitaka kuwasha moto nyumbani ni pale niseme nataka kuongeza mke wapili.

Mungu mkubwa, safari sio kifo tutafika tu.
 
Nimeoa, kuhsu point yako...kwani wasichana ambao hawajaolewa hawapendi wanaume walie owa.

wanapenda, kupenda si maamuzi unayoweza amua. Inatokea naturally. Kuingia katika hayo mahusiano ni uamuzi wa mtu, unaweza kujizuia. Huyo mdada tayari ana mtu na kuna uwezekano anampenda zaidi yako. Kwanini ukatishe mahusiano yao? Sio busara hata kidogo. Umesema umependa personality yake, ni wanawake wangapi wana personality nzuri? Je kila utayekutana nae wa aina hiyo utataka uoe ?
 
...ebu jaribu kujiweka ktk nafasi huyo jamaa anayemmiliki huyo she,alfu unakuja gundue kuwa kuna kidudu mtu kama wewe anapenyeza ushawishi wake kukimwagia kitumbua chako mchanga,utafanyaje?...pima mwenyewe,kama ni-vp jivuegamba...utafiti unaonyesha kwamba wanaweke ni wengi sana kuliko wanaume,ebu achana na huyo mrembo wa mwenzio bhana!...kumbuka ya kwamba "mla-chamwezie na chake uliwa!"...
 
wanapenda, kupenda si maamuzi unayoweza amua. Inatokea naturally. Kuingia katika hayo mahusiano ni uamuzi wa mtu, unaweza kujizuia. Huyo mdada tayari ana mtu na kuna uwezekano anampenda zaidi yako. Kwanini ukatishe mahusiano yao? Sio busara hata kidogo. Umesema umependa personality yake, ni wanawake wangapi wana personality nzuri? Je kila utayekutana nae wa aina hiyo utataka uoe ?
Swali zuri sana itabidi nijiulize sana, lakini usiende mbali si kila kizuri kikawa kinavutia kwako tu, yani kama sijawaoa mimi, wataolewa na wanaume wengine sababu suwezi kuoa zaidi ya wanne :biggrin:
 
Muachie mwanaume mwenzako raha yake,unajua nin?kama akikukubal wewe,wakat ana m2 wake,hata wewe kesho nae itakuwa hvyo,be a realy man.
 
Muachie mwanaume mwenzako raha yake,unajua nin?kama akikukubal wewe,wakat ana m2 wake,hata wewe kesho nae itakuwa hvyo,be a realy man.
Salute brother, nakupigia makofi kwa hayo maneno, hii ndo point nilio kuwa naitafuta:poa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom