Mke wa mtu anataka nimpe mimba

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Sep 30, 2015
1,526
3,802
Kuna dada mmoja nilisoma nae chuo miaka kadhaa iliyopita huko Moshi, ni rafiki yangu sana. Yeye bado yupo Moshi, mi niko Arusha.

Amekaa katika ndoa kwa zaidi ya miaka mitano bila mtoto, wamezunguka sana kwa madaktari na waganga wa kienyeji bila mafanikio. Baada ya kwenda hospital mwanaume aliambiwa ana mbegu chache hivyo akapewa dawa lakini bado wameshindwa kupata mtoto.

Sasa Jumapili tulikutana, baada ya maongezi kidogo akachomekea "unaonaje nikikuzalia mtoto" mi nikacheka tu nikajua masihala lakini kadri mna unavyozidi kwenda nikaona kumbe yupo very serious.

Nikamwambia haoni kuwa ana risk ndoa yake, akasema mme wake hawezi kujua. Utamshawishi aende hospital wakienda wakipewa dawa baada tu ya kumaliza dawa ndio anakujua kuchukua mimba kwangu amwambie jamaa kapata mimba.

Kiukweli nimeogopa, mme wake anapesa sana. What if, alitoa kizazi ili apate utajiri kwahyo hata yeye anajua kuwa hana uwezo huo?

Kingine, yani niwe namuona kabisa yule ni mtoto wangu anaishi na baba mwingine? mbona nahisi ipo siku nitamdai

Wakubwa, karibu tubadilishane mawazo. Hii ni kweli kabisa
 
Wewe kama ni mtaalamu wa kuwapa mimba mpe, lakini malipo ni hapahapa duniani
 
Mkuu unatumia analog au digtal alafu inaonekana una udugu na shigongo
 
Hamfuataye mwanamke anafuata shimo la moto...
Usifuate ya mwanamke
 
mkuu sitaki kuamini kuwa hii sio chai ..!!

ila Mara nyingi wanawake wanaokutwa na mazingira hayo ya waumezao kutokuwa na uwezo wakuzalisha .huwa wanawapa papuchi mashemeji zao ..ili product ya mtoto itakpo toka ipate kufanana na mumewe walau kidogo

sometymz watoto huwa wanafanana na ndugu wa mume au wamke ..kama mimi baba yngu mzazi huwa ananiambia kuwa nimefanana mnoo na marehemu kaka yake ambaye alifariki zamani sana wakati ambao hata baba yngu na mama yangu walikuwa bdo hawajawahi kukutana..!!
na alifariki akiwa anamiaka 20..

yaani MZEE huwa akiniona mimi anafeel kuwa yupo na kaka yake
 
Nendeni mkaujaze ulimwenguni hiyo ilikua ni amri ya Mungu. Kampe haja ya moyo wake dada wa watu maana km hataki kufa bila kuacha mtoto nenda kamwemweleke Nb..ukifumaniwa na jamaa usisahau kuleta mrejesho
 
Tatizo ni refu sana bro, ukimpa mimba akazaa (dhambi namba 1-umeiba mke wa mtu) huyu mtoto akijamrithi huyo baba (dhambi namba 2) utakuwa umeingiza dhulma kwa warithi halali wa huyu jamaa. Kisimamo cha kiama tafuta wakili. Huyu dada kama hawezani na ugumba wa jamaa yake basi adai na kupewa divorce then...... (hey kihalai pia!!!!!)
 
Back
Top Bottom