Mapenzi ya Kibongo ni ya aina yake duniani, hivyo nimeona leo nitoe somo ili kuwasaidia mayanki namna ya kuishi kwa furaha katika mapenzi ya Kibongo.
Kwanza mapenzi ya Kibongo hayashughuliki na...
Jamaa zangu wengi sana wanapata taabu sana kwa sababu ya simu. Kidude hiki ambacho kinatakiwa kitupunguzie shida katika maisha chenyewe ndio kimekuwa shida kubwa. Mtu unakuwa huna raha kabisa...
Habari za siku wanajukwaa, ningependa tu~share umuhimu wa kumpa mwanamke ujauzito kabla ya ndoa.
Kwa upande wangu naona si vema kuoana leo kesho yake mnaingia kwenye majukumu ya kulea, angalau...
Wadau wa Jamiiforums najua mnasubiri nitoe uhondo, kuna mtu kaniPM ananiambia namwacha hoi na raha kwake huwepo siku nzima naona ananivisha kilemba cha ukoka, sijui inawezekana kweli anarahika...
Naitwa Godfrey wa Mbeya Tanzania natafuta mchumba wa kuoa,nna umri wa miaka 25,ni muajiriwa,dini yangu mkristo.Mchumba nnaye mtafuta yeyote mwenye mapenzi ya kweli anitafute kwa...
Educated to diploma level and above,polite,any religion,mweupe kiasi,ur have a good shape!! hips, round shaped big booty ! good behavior ! u look smart always ! u know how to dress ! age from 22...
Mapenzi yananitia wazimu.
Haka kabinti kashambakashamba nilikavagaa ili tu kukata kiu, gemu ilikuwa kali na iliyojaa ufundi kwa timu zote mbili.
Kipindi cha mapumziko binti si ndio akachukua...
Wenzangu mnisaidie nipo njia panda nina mchumba wangu ambaye tulikubaliana kuoana baada ya miaka 3 na sasa imebaki miezi saba tu kiukweli nampenda kwa dhati naye pia ananipenda kama anavyodai kwa...
Jizoeze kutomdharau mtu kwa sababu zile iwe katika mambo ya rohoni au katika mambo ya mwilini! Wewe unakitu fulani na mwenzako hana, usimdharau mtu kwa vile anavyoonekana leo au alivyo leo hujui...
Ukiona Uhusiano uliopo hauendi vile unavyotamani uende waza upya, ukiona kila siku ni wewe tu unayeumia na kuumizwa na anayekuumiza hajali japo ni mwepesi wa kulia michozi ndoo nzima pindi...
Kama wewe ni single mum/dad, aidha ulitendwa ulibebeshwa ujauzito usioutarajia ukaachwa au ulipenda kujizalia au uliletewa mtoto ukatupiwa hapo na mamaake kuenda kusikojulikana.
Uliolewa/ulioa...
Jamani za leo waugwana,
Kuna shosti wangu kakumbwa na maswaibu! Eti mume anamrekodi na hapo hapo mume anachepuka nje.
Huzuni jamani sasa tumsaidiaje maana kakuta kondomu kwenye begi lake la...
Kwa muda sasa nimefatilia mada za humu ndani, nyingi zimekuwa zikilenga wanawake iwe kuelimisha au muda mwingine kuponda tu.
Sababu za msingi za hali hii ni zipi hasa? Ni kutokujiamini kwa wanaume...
1. My friend you buy your girlfriend Chicken, and
then you sip pure water, my dear do you have
diabetes?
2. My sister, you claim you don't cheat on your
guy, yet you receive different calls in...
Habari zenu jf naitaji ushauri wenu
Ugomvi wa baba na mama mtoto apaswi kuingilia ila inapotokea inakubidi tu nipo dar kimasomo ila wazazi wangu wanaishi moshi apa katibuni kumekuwa na migogoro...
Warembo bhana wamejiwekea classes
1.warembo wa kawaida(huwa hata hawajijui ni warembo)
2.warembo wanaovutia (ila wanaelewana na watu,wanafaa kuwa marafiki)
3.Warembo waliopitiliza (wamejiwekea...