Hivi wadada mnaweza kuvumilia kwa muda gani

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,764
Wadau wa Jamiiforums najua mnasubiri nitoe uhondo, kuna mtu kaniPM ananiambia namwacha hoi na raha kwake huwepo siku nzima naona ananivisha kilemba cha ukoka, sijui inawezekana kweli anarahika, ila huyo amesema yeye ni msomaji tu si aghalabu kuandika kitu, nawengine mpo nawapenda sana sana haswa mwafulani namtafutia nafasi katika moyo wangu.

Okay ni hivi nipo katika pilikapilika za kutafuta mdada wa kuishi nae, sasa kuna swali kauzushi kamezuka moyoni, sababu ya kuzuka ni kuwa mimi ni msafiri tena wa siku nyingi, ninachotakakujua kutoka kwenu wadada hivi, haswa mliokuwa mshakuwa deflowered, mnayajua mambongwa kwa kina, hivi mnaweza kuvumilia kwa muda gani tokea mara ya mwisho kukutana na mpenzi wako tena kimwili na kiwiliwili na roho na kila kitu kwa maana mna mapenzi ya dhati yasioweza kuepukika inaweza kufika mwezi, miezi mwaka, inawezekana, ili niyajue nipate kuwa na mipangilio ya safari, nisije nikamwacha mtu mke anakonda kama uzi.

Na nyie wengine mnaweza kuvumilia muda gani, baada ya kuonja asali?
 
siku hizi hata wiki hawafikishi... we ukisafiri kumbuka kuacha pakti ya roughlyderz chumbani!!!
 
Mnanichanganya ,miaka mitatu ata wiki awafiki dah ,nimevurugwa !
 
wewe kuwa na mentality ile ya wakwangu wakati namgegeda, wakati mwngine ni wa yoyote lah sivyo mwana utashindwa fanya kazi i tell u
 
Sisi hatusafiri na wanatusaliti sasa je wewe oa tu ila ukisafiri usiangalie nyuma
 
Hili swali haliwezi kujibiwa kama wewe unavyoyaka kwa kuwa inategemea na factors nyingi. Na hii siyo kwa wadada tu hata wanaume.
1. Inategemea mtu na mtu, kila mtu ana kiwango chake cha uvumilivu. So kama flani anaweza kukaa miezi mitatu mwingine hata wiki mbili hawezi.
2. Utashi wa mtu. Tunatofautiana pia. Mwingine kwake kufanya nje ya uhusiano hawezi kabisa, mwingine anaona kawaida.
3. Mazingira. Je mazingira yana facilitate kufanya hivyo? Kwa mfano ukisafiri hapa mkoani kwa mwezi let say arusha, mwanza uwezekano wa kupata mtu wa kutoka naye ni mkubwa, kuliko ukisafiri kwenda ufaransa kwa mfano.

4 Vishawishi. Kwa mfano kama kuna mtu ana mtongoza na kiukweli ana mpenda ila analinda heshima, basi ukisafiri ndo wakati muafaka wa kujaribu. I mean kama the more vishawishi around ndo uwezekano wake wa kugongwa/ kugonga unaingezeka.
5. Caring..kama uko mbali na unaonyesha ma care msingi then unapunguza chances za mwenza wako kuchepuka. But kama care ni kidogo uwezekano wake wa kuchepuka utakuwa mkubwa.

Hizo ni baadhi tu ya factors. Hata hivyo Nina mifano halisi, no matter what...mwaka hauishi. Hata kama ni mvumilivu vipi lazima atakusaliti tu. Kama kuna mdada yeyote ambae amekaa mwaka mzima mume wake hayupo na hakuchepuka aje apinge hapa.

Na ukishuhudia uongo utapata madhara makubwa.
 
Yani nyie, mimi juzi nimeenda kucheki mpira mechi ikaniboa half time nkachomoka mishale ya saa tano kufika home nimekamata mtu ugoni, kesho yake nikafungua jalada ofisi ya kijiji yalongelewa mengi mno ikiwa ni pamoja na mtuhumiwa kuniwekea mlinzi kwenye mechi ili ikitokea nimesepa astuliwe fasta bahati mbaya voda ikasumbua No Service simu zote. Nimemkamata mwizi kiulaini ila imeniuma sana wife wangu jamaniiii... "sasa je nisafiri mwezi wife si ataolewa tena wanajamvi?"
 
Pole sana asee...

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
Mi sijaoa lakini kila nikivuta picha wife anagegedwa i feel like lost in the dark,he start to caressing her tits jeeeeezy,anamchezea every angle of her vulptuous body uuuuuuuuhh,men she suck his 6 inches dick mot.her----errrrrrr,men he feels so high daaaaamn,then he just put her in position,he fu.ck like he ride a bull mother of guadelape...........Jamani hizi ndoa dah Mungu atusaidie.

Fu.ck love am tired of trying!
 
jeeezy dude!!!!

Mi sijaoa lakini kila nikivuta picha wife anagegedwa i feel like lost in the dark,he start to caressing her tits jeeeeezy,anamchezea every angle of her vulptuous body uuuuuuuuhh,men she suck his 6 inches dick mot.her----errrrrrr,men he feels so high daaaaamn,then he just put her in position,he fu.ck like he ride a bull mother of guadelape...........Jamani hizi ndoa dah Mungu atusaidie.

Fu.ck love am tired of trying!
 
Hili swali haliwezi kujibiwa kama wewe unavyoyaka kwa kuwa inategemea na factors nyingi. Na hii siyo kwa wadada tu hata wanaume.
1. Inategemea mtu na mtu, kila mtu ana kiwango chake cha uvumilivu. So kama flani anaweza kukaa miezi mitatu mwingine hata wiki mbili hawezi.
2. Utashi wa mtu. Tunatofautiana pia. Mwingine kwake kufanya nje ya uhusiano hawezi kabisa, mwingine anaona kawaida.
3. Mazingira. Je mazingira yana facilitate kufanya hivyo? Kwa mfano ukisafiri hapa mkoani kwa mwezi let say arusha, mwanza uwezekano wa kupata mtu wa kutoka naye ni mkubwa, kuliko ukisafiri kwenda ufaransa kwa mfano.

4 Vishawishi. Kwa mfano kama kuna mtu ana mtongoza na kiukweli ana mpenda ila analinda heshima, basi ukisafiri ndo wakati muafaka wa kujaribu. I mean kama the more vishawishi around ndo uwezekano wake wa kugongwa/ kugonga unaingezeka.
5. Caring..kama uko mbali na unaonyesha ma care msingi then unapunguza chances za mwenza wako kuchepuka. But kama care ni kidogo uwezekano wake wa kuchepuka utakuwa mkubwa.

Hizo ni baadhi tu ya factors. Hata hivyo Nina mifano halisi, no matter what...mwaka hauishi. Hata kama ni mvumilivu vipi lazima atakusaliti tu. Kama kuna mdada yeyote ambae amekaa mwaka mzima mume wake hayupo na hakuchepuka aje apinge hapa.

Na ukishuhudia uongo utapata madhara makubwa.

Mwaka na miez mitatu imekata na sina mpango wa kumsaliti. Ni kujishusha hadhi tu mke wa mtu kumvulia mtu nguo akugegede, phewww!
 
Back
Top Bottom