Habari wana JF, Kuna majina tumekuwa tukiiga wenzetu na kuwaita marafiki ambao sio wapenzi na yamezoeleka.
Kama: mpenzi, baby, sweety, wangu, luv, luvy, mchumba, horney na mengine mengi. Hii...
Wengine wanasema mapenzi yanaangalia hela ila mapenzi ni feelings bhana.
Awe na kitu au hana ila you just care for her/him.
Unakuwa happy kwa uwepo wake,unamhurumia,unamjali.
Hata akikuumiza bado...
Wana JF,
Katika mambo ambayo unaweza kusema ni ya kishetani au ni kwa tamaa za ngono ambazo mtu ameshindwa kuzidhibiti, wiki iliyopita niliwaletea story ya kweli ya shekuwavi ambaye aliruka ruka...
Ni ndefu lakini acha uvivu soma itakusaidia sana.
" Msichana mmoja alikuwa amempenda kijana mmoja mtanashati na mcha Mungu.. Malengo yao ilikua waje kuoana baada ya muda.
Kijana huyu alijitoa...
Usiombe kufumania, narudia tena kwa lugha ya kileo, kufumania ni soo.
Nilishawahi kuweko kwenye kijiwe cha washkaji fulani kukawa na mjadala kuhusu kufumania.
Swali likawa Je, ukifumania...
Wana jamvi, jana nikama nimefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuharibu mapenzi kati ya mke anayesaliti ndoa yake kwa kuendekeza ichape ikalale na muoaji mtarajiwa, ilikuwa hivi, tukiwa njiani kuelekea...
Pamoja na kwamba tunatakiwa tujifunze lakini pia naomba msaada wa kisaikolojia ya kumshauri rafiki yangu.
Kutokana na umbali wa hospitali na ukosefu wa elimu ya uzazi hasa maeneno ya kijijini...
Jamani mimi mwenzenu mpaka leo nimeshindwa kumpata huyu mwanamke ninayempenda sabbu hataki hata kuckia sauti yangu ila sasa nimeona bora nitafute mwengine kama yupo namuomba aje inbox.
Habari za jioni wanajamvi.
Kuna mtu wa karibu yangu (Naomba kumhifadhi ila ni ndugu upande wa wife..). Huyu yani ni member wa kila social network nnayoijua. Hi5, myspace, facebook, whatsapp...
Kwa nini wadada wengine wanakuwa ving'ang'ang'anizi ? Na wanakuharibia kila kitu,yaani huna uhusiano nae ni urafiki tu wa kawaida ,hajulikani anakutaka au hakutaki ,ukimuita na kumualika anakuwa...
amani iwe kwenu,ni hivi juzi nilikumbana na kile kisa chamke wa mtu,sa yule mwanamke kasafiri kwa wakati huu na kabla ya kundoka aliniaga kama jirani,akaniambia nikirudi nikuletee mke? nikakubali...
Habari za mchana wana mmu, niko mbele yenu kuna kitu kinanitatanisha. Kidogo hapa, kuhusiana na swala la kwenda ukwenu(kwao na mwanamke) kwa ajili ya kujitambulisha na kuuweka wazi uhusiano wangu...
Habar ya jpl wana jf
Samahani nina swali........
Kwa wale mlowahi kuchepuka au saiz umeamkia kwa mchepuko au unamchepuko,bila kujali sababu za kuchepuka maana utapata sababu ya kujitetea...
Usingizi mzuri na mnono unapatikana mahali palipo na utulivu na hewa yenye jotoridi la wastani. Baadhi ya vifaa tunavyovitumia kupatia usingizi huo vinapoleta mushkeli, ni wakati mzuri wa...
Mchuchumio ama viatu vyenye visigino virefu, ni mojawapo ya vitu vinavyopendwa na baadhi ya wanawake mbalimbali, sio Tanzania pekee bali dunia nzima.
Wataalamu wanaeleza kuwa viatu hivi...
Yaani leo asubuhi na mapema nimejitokea hadi masaa ya mchana nikaopoa mdada wa mjini ,ila uzuri wake si wakawaida ,natural hana poda wala mkorogo,mwili namba tatu ,juu akiwa mwembamba kuteremkia...