mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,789
- 7,182
Wana jamvi, jana nikama nimefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuharibu mapenzi kati ya mke anayesaliti ndoa yake kwa kuendekeza ichape ikalale na muoaji mtarajiwa, ilikuwa hivi, tukiwa njiani kuelekea msibani saa tano, mgoneka akaanza kubip sana kabla ajapigiwa nikamrushia kijembe ndugu yangu, kuwa unawapendaga lakin huyu kiboko au unaonga sana nini ? Akajibu sio hivyo ni wizi tu, mapenzi gani hayana mda maharum, nikacheka kwa kumkera kinafik kuwa unaloo! Jamaa akampigia sm kwa ghazabu "sinilikuambia niko msibani" akakata sm nikamwambia ukiöna hivyo jua mmewe anapata shida sana huyu siku unampa mimba timbwil la a. Ngedele litatimba. Jamaa akawaza sana na kuniambia " nimemsihi sana arudi kwa mmewe hataki kila anaponiona anataka nachoka mwili na fedha za gest' naelekea kummwaga ngoja nimtafutie sababu' eti au ujifanye unanizunguka niwakamate