Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 13,034
- 38,505
amani iwe kwenu,ni hivi juzi nilikumbana na kile kisa chamke wa mtu,sa yule mwanamke kasafiri kwa wakati huu na kabla ya kundoka aliniaga kama jirani,akaniambia nikirudi nikuletee mke? nikakubali. leo hii kanipigia sim na kunieleza yuo mdogo wake wa mika 19 ila ana mtoto nitamkubali? nimehoji yale ya msingi kuhusu huyo binti aliemzalisha iliikataa mimba,ni muislam na mi ni mkristo na anakubali kubadilisha dini, mama mwenyewe anarudi juma5 ya wikii na anataka kuja nae kanitumia picha yake nimependa,ila huyo mwanae ana miezi 8. nimewazia kichwani mwangu nitawaambia ndugu zangu kuwa huyo mtoto ni wangu nilimzalisha ili wasinione mjinga,nafanya hivyo kwakua ni hamu sana ya kuwa na mke,wasichana wengi hawako tayari kuolewa hivyo mchagua jembe sio mkulima. ingawa najiuliza mengi sana itakavyokuwa sijapata jibu,naombeni tu mawazo yenu nitakumbana na madhara gani kwa hilo? MUNGU awabarikieni.