Wanaume wanapenda hili bila kujua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaume wanapenda hili bila kujua

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tiger, Aug 20, 2012.

 1. T

  Tiger JF-Expert Member

  #1
  Aug 20, 2012
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 1,750
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Nilisikia kwenye kituo kimoja cha redio kuwa wanaume wengi wanavutiwa na wanawake wenye nyonga(hips) pana kwakuwa scientifically wanawake wenye nyonga pana hujifungua kirahisi zaidi.

  Mtangazaji alisema wanaume huvutiwa na umbo hilo bila kujua sababu kubwa ni hiyo.
  Naomba nisipigwe mawe kwa sababu hii ni kwa mujibu wa sayansi na nilisika redioni.
   
 2. P

  Prince Hope JF-Expert Member

  #2
  Aug 20, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 2,167
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  asante kwa taarifa.
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Aug 20, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  okey...............
   
 4. gango2

  gango2 JF-Expert Member

  #4
  Aug 20, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 1,238
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180

  unajua haya maelezo yako hayajaeleweka vizuri,(MARA KWA KUWA, MARA BILA KUJUA), unajua wanaume huwa hatufikirii kwenye kujifungua, always tunafikira present, so sikubaliani na wewe kuwa 'wanaume wengi wanavutiwa na wanawake wenye nyonga(hips) pana kwakuwa scientifically wanawake wenye nyonga pana hujifungua kirahisi zaidi.'

  always kujifungua huja baadae kaka!! labda useme 'WANAUME WENGI WANAPENDA WANAWAKE WENYE HIPSI PANA BILA KUJUA PIA WANAWAKE HAWA WANAJIFUNGUA KIRAHISI'
   
 5. Asulo

  Asulo JF-Expert Member

  #5
  Aug 20, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 733
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  gango2.. Mkuu nakuunga mkono
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #6
  Aug 20, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  We unapenda hips saizi ngapi?
   
 7. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #7
  Aug 20, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Yup..mleta mada alitakiwa ailete kwa mtindo huu bana..
  Hivi kuna mwanaume anafikiriaga mambo ya kuzaa at the first sight?
   
 8. T

  Tiger JF-Expert Member

  #8
  Aug 20, 2012
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 1,750
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Sijui kama tunaelewana,
  Kinachozungumziwa hapo nikuwa kuna sort of instinct that makes a man attracted to a woman with such hips.
  Si unajua nature ina-favour fitest species.
  Sasa wakati we unapenda hizo hips, nature yenyewe inakuwa imewaandalia nyote mazingira mazuri ya uzazi.
   
 9. T

  Tiger JF-Expert Member

  #9
  Aug 20, 2012
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 1,750
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Unavyoendelea kubisha unazidi ku-prove kuwa the theory is right coz na wewe hukujua hilo.
   
 10. data

  data JF-Expert Member

  #10
  Aug 20, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,795
  Likes Received: 6,574
  Trophy Points: 280

  teh teh teh.. Tiger u are funny..
  Forces of nature..
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. T

  Tiger JF-Expert Member

  #11
  Aug 20, 2012
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 1,750
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Nenda kwenye forum ya photo kuna post moja, jamaa aliweka title "mtoto mkali huyuuuu" utaiona size niipendayo.
  Tena utakuwa umenisaidia kama utaiweka hiyo picha hapa iwe sample.
   
 12. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #12
  Aug 20, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Bishanga hana hips lakini nampendaga.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #13
  Aug 20, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  ingekua hivo sisi tuliozaliwa na wamama wembamba tusingekuepo..urongo at best.
   
 14. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #14
  Aug 20, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Daaah kweli!
   
 15. T

  Tiger JF-Expert Member

  #15
  Aug 20, 2012
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 1,750
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Nani kasema wembamba hawazai?
   
 16. T

  Tiger JF-Expert Member

  #16
  Aug 20, 2012
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 1,750
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Hips siyo SI unit.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. afrique

  afrique JF-Expert Member

  #17
  Aug 20, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 495
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  hapo umeiweka vizuri,big up
   
 18. T

  Tiger JF-Expert Member

  #18
  Aug 20, 2012
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 1,750
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Anzisheni uzi wenu.
  Ila wa kwangu nilimaanisha nilicho kiandika.
   
 19. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #19
  Aug 20, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  hapa kinachozungumzwa ni sub conscious

  which is true
   
 20. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #20
  Aug 20, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,971
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Sisi tuliokwisha funga pingu za maisha hii thread haitutendei haki kabisa.
   
Loading...