shabaan Dogo
Senior Member
- Apr 27, 2014
- 196
- 82
Natafuta
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
we nae ushatuchosha kudadadeki zako thread ya 20 hii sasa kila siku unatafuta dem anaejitambua we mbona hujitambui, thread zako zimejaa love connect znahamishwa sa sijui huwa unajua zmepotea...unatukanyagia waya bwana alaaaah!!!!
Hahahahaaaa, mbona wako mtaani wengi tu, ukiona mtu kafikia hatua ya kupost kitu kama hii, kwanza yeye mwenyewe hajiamini na hajitambui, labda angesema anataka kulelewa, mchumba!!!!huko mtaani huwaoni?unatafuta hawa usiowajua humu MMU majanga.