Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jamani kwanza kabisa mnisamehe kama nimekosea spelling za hayo majina, pili kuuliza si ujinga, niliwahi kusoma humu mahusiano ya badieybey na moneystunna hadi kufikia hatua ya kutambulishana...
3 Reactions
109 Replies
7K Views
Women's desire for sex is far more complex that researchers had thought. A new study has found that hormones do not drive desire. Instead, a woman's relationship satisfaction and other...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
House girl commits suicide in Saudi Arabia Updated 15 hr(s) 22 min(s) ago By Ngumbao...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Salaam Wanajamvi. Ni miezi miwili sasa nimekuwa hapa Ulaya kwa shughuli zangu.Ila kuna jambo limelikuta tofauti na nilivyokuwa nafikiri kabla sijafika huku. Kuna dhana nilikuwa nimeijenga kuwa...
1 Reactions
86 Replies
11K Views
Mwanamke ata asome vipi, CV ya mwisho ni kiuno.... Nikipata uwaziri mkuu, ziara ya kwanza mkoa wa kagera. Kagera mpoooo???!
2 Reactions
40 Replies
6K Views
Niaje bandugu, dunia imekwisha sasa kuna rafiki yangu amechanganyikiwa, baada ya kugundua mrembo wake night uenda kiwanja fulani hapa Dar es Salaam kuuza, mtoto mkali sana na anapiga kazi kampuni...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Kwa Kweli Nimefuatilia Wadada Wengi Niliowafahamu Kabla Ya Kuolewa Walikuwa Warembo Mpaka Walinivuruga Akili Lakin Baada Ya Kuolewa muonekano wao umepotea.
0 Reactions
46 Replies
7K Views
Huyu sasa ni msichana wa tano, na kila mmoja ameniacha kwa sababu ya usiliti, kichwa kinaniuma, maumivi ninayapata, hela nimepoteza, doo! sipendi kulalamika kuhusu mapenzi, lakn hii sasa...
1 Reactions
39 Replies
6K Views
Nilikuwa mbali naye kwa muda wa mwaka hivi yeye yuko mwanza na Mimi Niko Morogoro lakini tulikuwa tukikutana naye kila baada ya miezi kama miwili hivi lakini acha ajabu nimekuja kumuona wiki...
1 Reactions
66 Replies
8K Views
Niaje wana MMU Yamenikuta mwenzenu, mwezi uliopita nilipeleka mahari sehemu fulani ili niweke huduma karibu. Sasa yamenikuta, wamenipangia Sh Mil 6.2. Ukilinganisha na uwezo wangu nashindwa...
2 Reactions
164 Replies
13K Views
Jamani Wanajamii Mie Nina Mchumba Wangu Nimpendae Sana Na Huu Ni Mwaka Wa Tatu Tangu Tulipoanza Mahusiano Yetu.Kuna Bindi Ametokea Kunipenda Sana Tangu Nikiwa Chuoni Hadi Kufikia Hatua Ya...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Habar wandugu kwa kifupi mi nina kautajiri kakusogeza life mbele nyumba 4 mbili gorofa mbili za chini maduka 3 mawili ya kawaida moja la kuuza spea za magari na gari za kutembelea 3 BMW AUDI na...
1 Reactions
45 Replies
5K Views
Natafuta Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
0 Reactions
5 Replies
950 Views
Ilikuwa majira ya saa 9 alfajiri wakati nilipoamka na kukaa kitandani, usingizi ulinigomea kabisa, mtoto wa kiume mie nikaanza kulia kama mtoto mchanga anayechomwa sindano, nilikuwa nikimlilia...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wana JF namimi natafuta rafiki wa kiume kwa lengo la kuwa na mahusiano yenye kuelekea uchumba. WASIFU WANGU UMRI:30 DINI:MKkristo ELIMU: Degree ya kwanza KAZI:Mwajiriwa NAPENDELEA:Kuangalia...
1 Reactions
43 Replies
7K Views
Mm ni kijana mwajiriwa katika sekta ya umma naitaji mwenza wa kike sibagui dini wala kabira
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Mimi wazabanga natafuta rafiki wa kike mwenye sifa zifuatazo . awe ni msema ukweli, ila palipo na uhitaji wa kudanganya asisite afanye hivyo .elimu awe angalau kidato cha nne nakuendelea...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mimi siyo muangaliaji wa mikanda ya kikubwa kivile, lakini nakumbuka wakati nikiwa shule ya sekondari wakati huo nikiwa bado sijaguswa niliwahi kuangalia mkanda wa kikubwa nyumbani kwa rafiki...
24 Reactions
255 Replies
42K Views
Sidhani kama kuna kabila hapa bongo ambalo wanaume wake wanakula kama hawa jamaa.
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Asalm alykum wanajf mm nikijana mwenzenu kwa umri ni miaka 26 nimejitokeza jamvini kuomba mahusiano na mwenza ambae ambae ata attractive na mm zaid ningependa awe na umri kuanzia miaka 22 -47 awe...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…