Soma Hii Halafu Nipe Ushauri(true Story)

Sikutambua

Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
46
Reaction score
5
Jamani Wanajamii Mie Nina Mchumba Wangu Nimpendae Sana Na Huu Ni Mwaka Wa Tatu Tangu Tulipoanza Mahusiano Yetu.Kuna Bindi Ametokea Kunipenda Sana Tangu Nikiwa Chuoni Hadi Kufikia Hatua Ya Kunitamkia Hisia Zake Kwangu Kuwa Ananipenda Sana Japo Mie Sikuvutiwa Nae.

Na Nilimweleza Ukweli Kuwa Ninae Nimpendae Lakini Hakunielewa.Baada Ya Kuhitimu Chuo Aliendelea Na Mawasiliano Na Mimi Na Sasa Amefikia Hatua Ya Kulazimisha Kuja Nilipo Japo Ni Mbali Tena Kwa Gharama Zake,mie sitaki aje Na Amewashirikisha Rafiki Zangu Kuwa Namtesa Sana Hana Amani Kabisa Mpaka Atakapoonana Na Mimi Na Kusikia Neno Zuri Kutoka Kwangu.

Nisaidieni Nifanye Nini?
 
Anataka asikie neno zuri lipi kutoka kwako? Wewe si una mchumba wako tayari, basi temana na huyo msichana anayekusumbua. Kujiweka karibu na huyo msichana mwingine ni kukaribisha tu matatizo kwenye uchumba wako. Muambie tu for the last time kuwa atafute tu mtu mwingine atakayempenda kwa dhati, coz wewe una mchumba tayari then ukate mawasiliano naye mazima.
 
Jamani Wanajamii Mie Nina Mchumba Wangu Nimpendae Sana Na Huu Ni Mwaka Wa Tatu Tangu Tulipoanza Mahusiano Yetu.Kuna Bindi Ametokea Kunipenda Sana Tangu Nikiwa Chuoni Hadi Kufikia Hatua Ya Kunitamkia Hisia Zake Kwangu Kuwa Ananipenda Sana Japo Mie Sikuvutiwa Nae Na Nilimweleza Ukweli Kuwa Ninae Nimpendae Lakini Hakunielewa.Baada Ya Kuhitimu Chuo Aliendelea Na Mawasiliano Na Mimi Na Sasa Amefikia Hatua Ya Kulazimisha Kuja Nilipo Japo Ni Mbali Tena Kwa Gharama Zake,mie Ctaki aje Na Amewashirikisha Rafiki Zangu Kuwa Namtesa Sana Hana Amani Kabisa Mpaka Atakapoonana Na Mimi Na Kusikia Neno Zuri Kutoka Kwangu.Nisaidieni Nifanye Nini?

Muiitie Polisi akikufwatafwata sana au kama vipi mkodishie masela akija wapige mbaya siku nyingine atakuelewa!
 
Embu kuwa na msimamo kama mwanaume mana swala lako haliitaji ushauri. Mkatie mawasiliano kaa mbali naye kabisa usimpe nafasi akuzoee hata kidogo.
 
safi kabisa... awe na msimamo kama mwanaume full stop.
 
Jamani Wanajamii Mie Nina Mchumba Wangu Nimpendae Sana Na Huu Ni Mwaka Wa Tatu Tangu Tulipoanza Mahusiano Yetu.Kuna Bindi Ametokea Kunipenda Sana Tangu Nikiwa Chuoni Hadi Kufikia Hatua Ya Kunitamkia Hisia Zake Kwangu Kuwa Ananipenda Sana Japo Mie Sikuvutiwa Nae Na Nilimweleza Ukweli Kuwa Ninae Nimpendae Lakini Hakunielewa.Baada Ya Kuhitimu Chuo Aliendelea Na Mawasiliano Na Mimi Na Sasa Amefikia Hatua Ya Kulazimisha Kuja Nilipo Japo Ni Mbali Tena Kwa Gharama Zake,mie Ctaki aje Na Amewashirikisha Rafiki Zangu Kuwa Namtesa Sana Hana Amani Kabisa Mpaka Atakapoonana Na Mimi Na Kusikia Neno Zuri Kutoka Kwangu.Nisaidieni Nifanye Nini?
kama humtaki usiulazimishe moyo wako. uwe na msimamo kijana. nahisi naweza kukusaidia katika hili, HEBU NAOMBA NAMBA YAKE YA SIMU. nitamfanya asikutafute tena na hiyo safari ataahirisha. usihofu. please PM me her phone number....
 
Piga huyoooo afu tembea mbele mwache aje upige kwani huyo wa miaka 3 mtaoana maneno sio msaafu we piga huyoo
 
Duh nawe ni mwanaume kabisa unavaa suruali mita moja na robo...makubwa ukistaajabu ya mchumba utayaona ya kibr dinda!!!!
 
Mambo mengine huwa hayahitaji ushauri,,,, hapo ilikuwa ni wewe kum bock au kutopokea simu yake(kama umedhamilia kweli)
 
haelewi maana yake nini?? mchane makavu tu kuwa humtaki.,, labda kama unamuogopa... ashindwae pia mume..
 
Leo kn game, man na arsenal, saa 2.30
 
Jamani Wanajamii Mie Nina Mchumba Wangu Nimpendae Sana Na Huu Ni Mwaka Wa Tatu Tangu Tulipoanza Mahusiano Yetu.Kuna Bindi Ametokea Kunipenda Sana Tangu Nikiwa Chuoni Hadi Kufikia Hatua Ya Kunitamkia Hisia Zake Kwangu Kuwa Ananipenda Sana Japo Mie Sikuvutiwa Nae Na Nilimweleza Ukweli Kuwa Ninae Nimpendae Lakini Hakunielewa.Baada Ya Kuhitimu Chuo Aliendelea Na Mawasiliano Na Mimi Na Sasa Amefikia Hatua Ya Kulazimisha Kuja Nilipo Japo Ni Mbali Tena Kwa Gharama Zake,mie Ctaki aje Na Amewashirikisha Rafiki Zangu Kuwa Namtesa Sana Hana Amani Kabisa Mpaka Atakapoonana Na Mimi Na Kusikia Neno Zuri Kutoka Kwangu.Nisaidieni Nifanye Nini?

Jifunze kuandika vizuri. Usiandike kama unakimbizwa
 
Back
Top Bottom