Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Maharusi. KWA UFUPI "Kitu kingine ambacho ni hatari zaidi watu ambao hukaa peke yao iwe wanawake au wanaume hula vyakula visivyo rasmi,hawana muda wa kupumzika na hata uamuzi wao huwa wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Amin husiamini mwanamke si mtu wa kuaminiwa ata kidogo, vijana na wanaume wengi wamelizwa na wengine wameuawa chanzo akiwa mtu anayeitwa mwanamke. Hii imethibitishwa kihistoria na kisayansi.
2 Reactions
168 Replies
16K Views
Wakuu habari nakuja dar kesho kutwa kwa mishe zangu flani kwa wenyeji gesti ipi nzuri iwe mitaa ya magomeni sinza na makumbusho bei 15000 sio mbaya
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Nimeona niseme maana limetokea kwenye kikao cha harusi ya ndugu yangu. Kuna jamaa aliahidi kutoa usafiri wa gari lakini siku ya harusi alipoambiwa alete hilo gari kwa ajili ya kubeba wazazi wa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Uvaaji wa Pete za Ndoa kwa wanandoa huzingatiwa tu mwanzoni mwa ndoa zao ila baada ya kamuda hivi wanaanza kuzisahau, hadi wakumbushane ndipo wavae, wanazipoteza, na hata baadae kuzisahau kabisa.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari za siku wana jamvi? Ni mda mrefu nilikuwa sitoi mchango wangu huku jukwaani hii ni kwa kutingwa na majukumu.Leo naomba niwaletee hili la dada zetu kuwa na viburi,kejeli kwa bwana zao na...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari za weekend wandugu wote, tumshukuru mwenyezi kwa kutujaalia uzima na kutupa pumzi hadi kufikia leo, na napenda kuwapa pole wagonjwa wote waliopo maospitalini na majumbani, tusichoke...
1 Reactions
29 Replies
6K Views
wakija watabisha
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Natafuta mke kuanzia miaka 25-31, awe angalau kafika kidato cha 4 na kuendelea. Awe tayari kupima na hata kama ana m\watoto sio mbaya wasizidi 2. Mimi ni mwanaume nina miaka 34 elimu shahada...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wana MMU eti huu mtazamo huwa ni kweli au? Kuna watu wanasema huwezi kumsahau mpenzi wako wa kwanza.Tena kwa KE anamkumbuka mtu wake wa kwanza aliyemtoa usichana,atakumbuka mahali...
0 Reactions
69 Replies
10K Views
Natafuta mchumba wa kuish nae awe angalau amefika collage yoyote tu!! Kwa kuwasiliana zaid nicheki hapa 0758082840
0 Reactions
0 Replies
639 Views
Nataka mmama mnene Halafu awe na pesa tuwe wapenzi. 0655191544 awepo DSM
0 Reactions
27 Replies
14K Views
Jioni hii narejea home nikaona nipitie mlimani city kumnunulia wife wine aipendayo ili nikitoka namwacha na yeye akisuuza koo,nikiwa najiandaa kutoka baada ya manunuzi nikijiandaa kutoka...
1 Reactions
89 Replies
10K Views
Hii clip inaweza ikakushangaza kama ilivyonishangaza mimi. hebu fuatilia then toa comment zako kuthibitisha au kupinga kilichoelezwa katika hii video. Je, kuna ukweli wowote katika kilichoelezwa...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Shrien Dewani Na Marehemu mke wake Anni siku ya harusi yao BAADA ya kutua katika uwanja wa kimataifa wa Cape Town nchini Afrika Kusini, Novemba 7, mwaka 2010, wanandoa Shrien Dewani na Anni...
7 Reactions
25 Replies
5K Views
A man's biggest mistake is giving another man opportunity to make his woman smile, do you play your role to make your wife smile??
6 Reactions
32 Replies
5K Views
Roho imeniuma sana. Nimezaa na aliyekua mchumba wangu, kutokana na matatizo ya hapa na pale hatukubahatika kufunga ndoa japo tuliachana vibaya lakini nilijipa moyo tu. Nilipojifungua...
0 Reactions
96 Replies
10K Views
Naomba kuwauliza waheshimiwa kwa experience ( uzoefu) wenu wa maisha ya ndoa hadi sasa ni mambo gani mmeona au kugundua ni ya msingi kuyapa kipaumbele au kuzingatia kabla ya uamuzi juu ya mtu wa...
1 Reactions
42 Replies
5K Views
Hard to swallow kwa wadada
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Most of the man wanapenda kupikiwa chakula kizuri haswa na wake zao na wanajisikia raha zaidi kula chakula alichopika mke. Pia wanapenda usafi na uwekwaji mzuri wa mazingira safi kila saa 24/7...
15 Reactions
176 Replies
18K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…