Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wadau majuzi nilitupia tangazo la kuuza kanda za bongomuvi. kwa kuwa ninahama leo kuhamia kwenye mjengo wangu huko kisukuru basi yeyote ambaye ni mhitaji tuwasiliane kwa namba ile nami...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wengi wamekuwa wakijiuliza kwa nini ndoa nyingi sana siku hizi hazidumu si tanzania tuu bali dunian kwote kwa ujumla. hapa jibu ni moja tu kuwa kuwa tumeikosa aina moja tuu ya ndoa ya kweli...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
At one time, bussiness man Shahid Khan washed dishes for $1.20 an hour.He is now one of the richest people in the world, having $3.8 billion net worth.NEVER GIVE UP...!
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Kijana wenu SUPU YA MAWE nitakuwa ndani ya jiji la Mbeya kwaajili ya Christmas na Mwaka mpya, jumanne nitakuwa hapo Mbeya maeneo ya Iyunga ndio nitakuwepo. Kwa bahati mbaya...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
SHULE BILA ADA: Uthitegemee ipo thiiku therikali itaanza kugawa hela ili maisha yawe RAHITHI...Never.. Tangu enzi za Nyerere Mpaka Enzi za Jakaya kuna watu wamekuwa wakilalamika MAISHA NI MAGUMU...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Angalia hiyo video hapo chini ni vijana wa ktk nchi iitwayo Czech Republic huko Bara la Ulaya, walikuwa wanafanya jaribio la kupima Uaminifu wa Mwanamke linapokuja kwenye swala la ngono na fedha...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari za usiku wana jf, kwa jina naitwa wazabanga, nilikua nashida kidogo, naweza kusema nitatizo au nikutokuelewa kwangu, kuna mwanamke nimetokea kuelewana nae sana, mwanzo tulipokutana ilikua...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Kuna mwana-jf nampenda sana kutokana na uchagiaji wake, pia anaonekana ana hofu ya mungu kubwa sana. Lakini mimi naogopa kumfuata pm kutokana na komenti zangu, kuna komenti moja nilikomenti...
1 Reactions
175 Replies
15K Views
Salaaam wanaJamiiForums hope wazima. Mimi ni mwanamke jamani,nina mpenzi wangu naamini ananipenda nami nampenda, mimi nina kazi nae anayo lakini anataka aache sababu hawampi salary yake tangu...
0 Reactions
93 Replies
11K Views
niko moro demu aliye tayari anichek kwa 0769819555
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Hi to all member.Kwanza nianze na salamu za mwaka mpya pili niwape short story ya swahiba wangu alipata binti aliyekuwa amezaa na mwanaume mwingine takribani miaka sita iliyopita na wamedume kwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
CHOMBEZO: Mpangaji Mtunzi: Frank Masai Sehemu: 01 Mnamo mwaka 2008, nilimaliza kidato cha nne katika shule ya Tabora Boys. Baada ya kumaliza shule,nilirudi zangu nyumbani Morogoro kwenye...
0 Reactions
14 Replies
53K Views
Habari wana JF. Jana na leo kwangu ilikuwa pilika mimi na wifi/shemeji yenu, mwisho wa siku leo trh 1/1/2015 mnamo saa 3usiku akajifungua babyboy. Kwa mnapotakiana heri ya mwaka mpya mumkumbuke...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
nikawaida mapenzi n ya watu wawili ila yakwetu yalikuwa mimi pekee nilifanya iwezekanavyo kuyawezesha labda kosa nililofanya kukupenda sana chenye mwanzo kina mwisho wacha nikuache...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wauu, kuna 'lugha' tano (5) ambazo mwili wa binadamu huji-express jinsi mtu huyo alivyo kimahaba. 1. Watu wanaopenda kusifiwa: Hawa ni watu wanaojisikia sana wanaposifiwa hata kwa jambo dogo tu...
7 Reactions
72 Replies
12K Views
Kijana mmoja nina mahusiano ya kifamilia nae jana nlikaa nae anakunywa bia akawa anapiga simu ambayo kwa haraka nilihisi anaongea na mdada kuhusu kutoa mimba! nikajaribu kumdadisi kwa njia ya...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Toka enzi na enzi kulikua na tohara kwa dada zetu na hakukua na tatizo lolote liliwahi kutokea, pia kuna watu wametahiriwa wapo ktk jamii zetu na hapa jf na wanaishi maisha mazuri ktk ndoa ya...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Wana JF na wana MMU..... Nashukuru Mungu kunijalia mwaka mwingine uliotimilika na pia nashuku JF kama kisima cha habari na Burudani pia hasa niwapo nje ya Tanzania mara nyingi najisikia kama niko...
2 Reactions
46 Replies
3K Views
aliniacha bila kosa na kunitambia anaoa... nikamwendea kwa bibi cjui kikatokea nn ckusikia cha ndoa tena. hii ya leo sasa.. . kamu add friend. rafiki yangu fb na kumtongoza nikamwambia...
1 Reactions
67 Replies
9K Views
Kuachwa kusikupe Stress, Haijalishi umeachwa mara ngapi, Jali kile ulichojifunza kutoka kwa mtu aliyekuacha.. Kila anayeingia maishani mwako ana Syllabus mkononi mwake, Every topic...
5 Reactions
22 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…