Anna pita
JF-Expert Member
- Jul 10, 2012
- 227
- 430
aliniacha bila kosa na kunitambia anaoa... nikamwendea kwa bibi cjui kikatokea nn ckusikia cha ndoa tena.
hii ya leo sasa.. .
kamu add friend. rafiki yangu fb na kumtongoza nikamwambia amkubal amwambie anaishi musoma... jamaa kapenda hasa... tukamfanyia mcheo wakapanga wakutane akamtambulishe kwao!! akakubal kapanda basi kutoka dar to musoma kafika kapanda mpaka majita kufika akamtext kumbe umefika pole mi ni mke wa mtu nipo dodoma
nimefurahi sana maana alikutana na wajina akijifanya kidume wakamwibia...
swali kwa wanaume utampendaje mtu fb!! ndani ya wk unamfata alipo???