matthew's
Member
- Aug 3, 2014
- 12
- 3
wengi wamekuwa wakijiuliza kwa nini ndoa nyingi sana siku hizi hazidumu si tanzania tuu bali dunian kwote kwa ujumla. hapa jibu ni moja tu kuwa kuwa tumeikosa aina moja tuu ya ndoa ya kweli waliyokuwa nayo wazee wetu zamani... kwa sasa kuna aina tatu za ndoa...1.ni ndoa kati ya mwanamke na mwanaume..aina hii ya ndoa kunakuwa na kitu kinaitwa kuheshimiana,,kwamba unapokuwa mbali na mwenza wako basi hapo huweza kufanya lolote awezalo lkn mnapokuwa karibu tuu hujizuia kwa kukuheshimu na kuonesha anakupenda sana..2.. ni ndoa kati ya mwajiri na mwajiriwa..yaan hapa mwanamke au mwanaume anakuwa ameolewa au ameoa lkn kila kitu anakifanya mme/mke..yaan ww unakuwa wa kukaa tuu nyumbani na kulinda nyumba na kulea familia na kumpa raha tuu mmeo au mkeo pale anapohitaji kukutumia..3.. ni ndoa kati ya mke na mume..ktk aina hii ya ndoa kunakuwa na kitu kinaitwa stahaaa...aina hii ya ndoa ilikuwepo zamani siku hizi ni chache sana...ktk aina hii ya ndoa hapa mke au mume huweza kumvumilia mwenzake hata kama yupo mbali na kwa muda wowote ule hata iwe mwaka...na pia hawa huishi maisha yote yaaan ya dhiki na raha..kwenye dhiki huvumiliana na kuendelea kuheshimiana...KWA WALE MLIOPO KTK NDOA TAZAMA AINA YA NDOA YAKO HAPOOOO