mr piano man

mr piano man

man of the year

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2014
Posts
463
Reaction score
319
nikawaida mapenzi n ya watu wawili ila yakwetu yalikuwa mimi pekee nilifanya iwezekanavyo kuyawezesha labda kosa nililofanya kukupenda sana chenye mwanzo kina mwisho wacha nikuache uende,nimepoteza sehemu kubwa ya maisha yangu kuachana na wewe hii yote sababu nilikuwa busy ktk shughuri zangu nadhani watu hawa wanaitaji uangalizi zaidi
 
Ukipenda ujue pia kuna kuchukiwa. Hakuna mazuri yasiyo na mabaya yake.
 
naona unalivua pendo kama mwasiti
 
Nipe namba zake ntaamini kama umemuacha, wewe mpaka sasa hujui dawa yao hawa
 
Back
Top Bottom