HABARI YA MCHANA WANA MMU JAMANI MWENZENU YAMENIKUTA MWEZI WA NANE MWAKA HUU.NILIKUA KWENYE DALADALA KUTOKEA CHUO UDSM TO SCIENCE .NILIKAA SITI YA NYUMA KABISA SASA PALE NILIKAA NA MAMA MMOJA...
Wadau mwenzenu huwa naogopa na kusikitishwa sana comments mbalimbali kuhusiana na suala zima la ndoa,maana inaonyesha bayana kwamba kuoa au kuolewa ni kujitakia matatizo,Je wewe umejifunza nini...
Nimemkuta jamaa mmoja ambaye ni rafiki yangu wa karibu aliye oa hivi karibuni akijisifu mbele ya vijana wenzake kwamba kuoa kuna raha yake.
Vitu ambavyo unavipata kwenye ndoa huwezi kuvipata...
Ni safari ya kutoka Arusha kuelekea Dare s saalam.Nipo kwenye basi na abiria wa upande wangu wa kulia ni mwanamke mzuri wa sura na umbile na mwenye haiba ya upole.Huwa sina Tamaduni ya kuanza...
Heri ya mwaka mpya wapendwa. Napenda kuwakaribisha kwenye harusi yangu kiroho safi, ifikapo tarehe tajwa hapo. Itafanyika Mwanza ukumbi wa bwalo la jeshi. Karibuni sana.
hebu tupeane mawazo wadau kuna mtu ametokea kupendwa sana na demu ambaye alikuwa ni demu wa kaka yake ambaye kwa bahati mbaya huyo kaka yake ni marehemu.. lkn anadai kuwa binti huyooo alianza...
Jamani Mimi Ni Kijina Nina Miaka 18 Na Cjawai Kufanya Mapenz Nipo Chuo Mwaka Wa Kwanza(wizara Ya Afya) Kuuliza Sio Ujinga Ivi Ni Mda Gan Unafaa Kuanza Kusex? Yan Avarage Age
Natamani niachane na hawa watu ila kiukweli nashindwa, nahitaji ushauri hasa wa mwana saikolojia aliyebobea, sipendi kuumiza wanawake wenzangu lakini hawanielewi,nami siwalaumu nakiri nakosea kwa...
Wadau mpo poa! Mm tatizo langu kuna binti niliyekuwa nikimpenda sana na yeye pia alinipenda! Maana mara nyingi alikuwa akinifata tunapiga story! Ingawa sikuwahi kumtokea! Kilichokuja kutokea ni...
Heri ya mwaka 2015 wana MMU.
Naombeni ushauri na elimu...
Babu na bibi yangu!! Walinieleza na kunishauri. Kuwa kuna mambo muhimu, makubwa na kuzingatia wkt wa kuchagua mchumba. Wakanieleza kuwa...
Hivi karibuni nilienda kijijini kusherehekea xmass kwa bahati nzuri nilipata bahati ya kuonana na marafiki zangu tulio maliza nao kidato cha nne takribani miaka kama 12 hivi.
Kitu...
Wadau natumaini muwazima wa afya njema
Jambo nalotaka kuwauliza ni kwamba nilikuwa nimenuia kumfanyia sherehe ya kuzaliwa mpenzi mpenzi wangu ila bado sijamwambia sasa katika tafakuri yangu...
Kati ya vitu ambavyo wanawake hawapendi ni mwanaume kurudi nyumbani usiku mawazo yao hufikria mwanaume alikuwa anachepuka, sasa jana wanaume wamerudi mapema kabisa nyumbani kitendo ambacho...
wapendwa salam sana
Mim ni kijana wa umri wa miaka 23, nipo Dar es salaam, na mwanafunzi ktk chuo kikuu cha...! I m just a man of simple ways.napenda sana amani, nachukia waongo na mambo yao...
X girl friend wangu niliyekua nae mda woote ananililia shida tukaachana badae baada ya kuona tumeshindwana tabia na kwao nilikua nafahamika sana maana nilikua nawasaidia maana hata uwezo wao ni wa...
Mimi ni kijana ambaye nipo kwenye my late 20's nilikuwa ninatafuta rafiki wa kike kwa ajili ya kubadilishana mawazo mbalimbali ya kimaisha na kufahamiana zaidi.
Wasifu wangu
1. Mfanyakazi na...
Nimeplani kufungua foundation kwa ajili ya kuunganisha wanaotaka vijana ambao hawajaoa au kuolewa ili ikiwezekana wapate wachumba hukohuko na tutasaidia pia kugharimia ndoa kwa asilimia 50 (kama...