Habari wanajamvi, hii tabia iko hasa kwa wanawake naamini kuwa every one is different ila kuna vitu vingine huwa vinaboa
1)Unakuta mtu unamuandikia mwanamke text ndefu ya maana (sio love text)...
Mke wangu anafanya kazi kwa bidii na anajua sana kutafuta Pesa kihalali kabisa.
Hivi mwamke kama huyo anastahili Zawadi gani kama kichocheo ili aendeleze juhudi katika jitihada zake.
Jamaa mmoja, alichungulia Pochi hang bag ya mke wake!! Akakutana na bank statement yake ina million 45 kwenye account yake . Jamaa alipata mshangao wa ghafla ukizingatia mke wake hata mshahara...
Asiwe na Miaka 40 asiwe chini ya Miaka 24 awe na Kazi inayompatia Kipato. Gharama zote za kumtunza, kusomesha Mwanangu zitakuwa zangu,ila hakuna kuoana kwa aliye tayari aje inbox.
Wakuu heshima kwenu.
(Copied somewhere)
Mambo ambayo Mwanaume anafanya kukujaribu kama wewe msichana unafaa kuwa mke:
1. Ukienda kwake ukutane na Vyombo vichafu na Nguo chafu zimejazana...
NI KWELI KWAMBA WANAWAKE HAWALIZIKI!
Niliishi na mke wangu tukiwa na kipato cha chini vizuri tu!
Baadae alionekana kutokulizishwa na maisha tuliyokuwa nayo. Nilipambana mpaka nikapata kazi na...
Seriously
Wakuu nifanyeje juu ya sweetie wangu huyu. I really love and Am dying for her.
Tatizo ninapomdinya nashtukia ghafla kaning'ata,nimebadili style,nikapiga doggy kajipinda hadi kang'ata...
Miaka, miezi na hatimaye siku si nyingi zijazo mchakato wa kumpata Rais wa awamu ya 5 wa JMT. Wengi wanatajwa au kujinadi kuwa ndio watu wanaoweza kuipeleka ktk hatua kubwa kimaendeleo.
Kwa...
Kiukweli thamani ya mwanamke ni akili yake na ujuzi wa kupambanua mambo!!ukubali ama ukatae...mwanamke ndo msingi wa mafanikio katika familia.kwa uchunguzi wangu..masistaa katika mahusiano huwa...
NAITWA Salome Katonaga, ni mtoto wa kwanza kuzaliwa katika familia yetu ya watoto watano. Nimeamua kuwasimulia simulizi hii ili mfahamu kwa nini wahenga walisema dunia ni tambara bovu. Nitaeleza...
Sikiliza huyu binti alivyomjibu baba yake mzazi. Walikuja vijana watatu kumposa
binti mmoja.
Kijana mmoja alikuwa Tajiri
sana..
Kijana wa pili alikuwa Handsome
sana...
Kijana wa tatu...
Nina ushaidi yakinifu kupitia humu jamvini pamoja na mitaani tunamuoisha hasa hasa wakazi wa Dar es Salam.
Nimelfanyia utafiti kwa kufatilia wazee wa zamani walikuwa wanaishije katika maswala ya...
Wazee wenzangu humu Mmu na Jamiiforums kwa ujumla hamjambo.
Poleni na ugumu wa Mwezi huu ambao wengi tunatamani usiwepo kwenye Kalenda ya Mwaka.
Nadiriki kutoa Elimu kwa wanawake kuwa ni salama...
Wakati mwingine najifungiaga ndani nikimshukuru Mungu kwa kufikiria mambo mengi sana yaliyonitokea katika Safari yangu hii ya Maisha mazuri, mabaya sikuwai kukata tamaa.
Kuna vijana wenzangu...
Kwa Ntakao wakwaza mnivumilie!
Wanawake wasio na Kazi wanakua hawana mambo mengi. Ukitoka kwenye mihangaiko yako anakupokea na kukukaribisha Nyumbani kwa furaha. Utakuta chakula kishaiva, utakuta...
Wapendwa nawasalimu kwa jina la Bwana.Nandungu zangu wengine nawasalimu kwa ile Salam ya Asalam.Haya sasa narudi katika Mada kunasiku nilikaa na Babu yangu katika kupiga piga Story.
Akaniliza...
Nashindwa hata kuelewa sijui ni kwanini wanawake wa siku hizi wamepoteza kabisa ladha. yaani mapenzi kwao hakuna tunafata mtelezo tu.
Utakuta we Mwanaume unajitahidi kumuandaa kwa kumtomasatomasa...
Yeyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!
Jamani naomba ni i adress hii FALLACY ya ME wengi baada ya kushindwa kuwa MIDUME YA MBEGU na kukosa kuwafaiddi warembo of their times (kila generation...
Mimi sijawahi kuona wanawake warembo kama weusi, ni warembo mno, infact wanavutia sana.
Cha kushangaza sasa, kuna mijitu yenye upungufu wa akili kichwani inajichubua bila huruma, kibaya sasa...