Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Siku hizi baada ya kuzagaa sana kwa hizi simu mnazoita cjui smatifoni, zimepelekea sasa hivi kila mwny nayo kugeukia kazi ya u kamera mani. Nimeshashuhudia picha nyingi tu za ajali mbaya tena za...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Kwa kweli napiga simu.Ananiambia asante nimepata pesa uloituma dah! namwambia umepata sh ngapi ananiambia 90,elfu. Lakini mimi sijamtumia. Namuuliza nani kakutumia anasema hajui. Mimi nimejikaza...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Hasa wamama na mabinti msikiapo jambo baya kuhusu mpenzio. Mwombe Mungu akuongoze else utaishia pabaya kwenye mapenzi yenu.Shetani ameamua kutumia sana mdomo nowdays kusambaratisha mahusiano ya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kianzia leo nitakuwa nawawekea love story ya Faiza Ally mzazi mwenzake na mh. Joseph Mbilinyi (Sugu) anayoendelea kuitoa ktk mtandao wa Instagram na Facebook. Kwakuwa ni yeye mwenyewe ameutoa...
2 Reactions
348 Replies
54K Views
Nipo hapa Mwananyamala tupo wapangaji kumi na sita vyumba tisa ila wengine tumebebana wasichana wapo kumi na moja na wanaume wa tano. Cha kusikitisha kila nikimuona mdada anaenda bafuni unakuta...
0 Reactions
30 Replies
12K Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Kuna bi dada mmoja, mtu wa dini mnoo, mchaga mwenzangu, kaolewa na mtu wa bara huko, wana kama mwaka hivi. Mambo...
10 Reactions
69 Replies
27K Views
Wana MMU. Naombeni ushauri. Nimekuwa na date na msichana mmoja, for a serious relationship for marriage. Always tukitoka out tunakwenda na pacha wake. Sasa jana huyo msichana ameniambia, wao ni...
0 Reactions
56 Replies
5K Views
Habarini za uzima wakuu. Natumaini mko salama, naombeni ushauri wenu makini hapa. Nina ndugu zangu wawili ambao mmoja ni kaka yangu kabisa tena mtoto wa baba yangu mdogo. Huyu kaka ni mwajiriwa...
0 Reactions
55 Replies
5K Views
Nimekuja kugundua wanawake hawapendi sana mwanaume mjuaji. Kuna watu wakimya sana hata akilewa yeye huwa anatabasamu tu, basi wewe utaongeeaaa, utapiga storiii na kujifanya kila kitu unajua lakini...
34 Reactions
221 Replies
51K Views
Mi ni mdada wa miaka 32, natafuta marafiki wanaojitambua wa jinsia zote wa kubadilishana nao mawazo wawe na umri kuanzia miaka 33 na kuendelea. Tuwasliane kwanza kwa Email...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana jamvi habari zenu. Mi mwenzenu mzima namshukuru aliyeniwezesha kuwa hivi. Leo nataka kushea nanyi mambo manane ambayo yatakuwezesheni kung'amua kama mkeo kunakitu anakuhadaa. Wanaume wengi...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Je ni kweli? Jamaa aliambiwaga na babu yake usimpe siri yako mwanamke wako hata siku moja hao huwa hawakaagi na siri,Basi siku moja alipanda juu ya mnazi ili aangue nazi akakata tawi la mnazi...
1 Reactions
38 Replies
7K Views
Watu wote wanaoendesha Madanguro Dar mnajulishwa kutakuwa na Mkutano pale MAWELA PUB Sinza VATICAN tar. 15/9/2013 kuanzia saa 8 Mchana lengo likiwa kuwasilisha malalamiko yetu kwa Wahusika...
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Nashindwa kuwaelewa ujue, mbona mnazeeka mapema hivi tatizo nini juzi i met this woman ambaye tukiwa sekondari nilikua natumia muda mwingi sana kumwandikia barua kumfuata kwao weekend. Vurugu...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamii forum,natumai ni wazima. Leo nimekaa nikawa nafikiria sana maisha ya mahusiano,ghafla hii kitu ikanijia kichwa kwamba hivi maisha bila kuwa ugonjwa wa UKIMWI yangekuwaje...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Asema kijana ndiye aliyemng`ang`ania Michael Christian (26) Hatimaye Mbunge Rosweeter Kasikila (60), aliyefunga ndoa na kijana mwenye umri wa miaka 26, amefunguka kwa...
12 Reactions
201 Replies
24K Views
Leo nataka kushirikiana na wana JF kuhusu namna ya kula embe dodo vizuri. Kwanza tambua kuwa ili uweze kulila embe lazima uliandae kwanza. Likiwa kwenye mti lazima uende ukalichume -liangalie...
2 Reactions
68 Replies
11K Views
Kama mtakumbuka kipindi cha nyuma watumiaji wa Internet tulikuwa wachache na wengi wetu hata uwezo wa kumiliki laptop tulikuwa hatuna tulitegemea kulipia one hour kwenye cafe kusoma email zetu na...
3 Reactions
43 Replies
5K Views
Jamani nimesoma gazeti moja leo la kiganda nimecheka mbaya, jamaa mmoja kapigiiwa simu mke wake yuko na nyumba ndogo lodge akamtuma mtu aende hiyo hotel alipoona gari akampigia kaka ni kweli...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Habarini mimi ni kijana nina miaka 40. Nina watoto wakiume watatu ni mfanyakazi wa serikali na pia ni mfanyabiashara. Niliachana na niliyezaa nae miaka miwili iliyopita. Tulishindwana na bahati...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…