Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna kaka alitokea kunipenda nami nikampenda hana dalili ya upendo hata kidogo. Nikimuuliza anasema mpaka tufanya mapenzi kwanza pia hataki kujua jina langu ananiita mpenzi au mke wangu na mara...
2 Reactions
70 Replies
9K Views
Tangu niachane na Girlfriend wangu nimekuwa katika wakati mgumu sana. Wakati mwingine napata hasira bila sababu za msingi. Hapa nyumbani naishi na mdogo wangu, sometimes nakuwa si 'mtreat'...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mama mkwe wangu bado anaonekana kijana. Weekend tulienda kumtembelea tukiwa sebuleni pale mimi na yeye, mchumba alikuwa jikoni mama alikaa vibaya nikasogeza macho kuangalia pembeni na kujidai...
0 Reactions
56 Replies
10K Views
Mimi ni ni mwalimu nimeajiliwa serikalini ninafundisha sekondari. najitokeza katika jukwaa hili kutafuta mwanamke mcha MUNGU. mwenye umri kuanzia miaka 24-30. Kama upo nipigie kwa 0659336264...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Natafuta mchumba wa kuoa mwenye sifa hizi: i. Awe na umri wa miaka 18-22. ii. Awe mkatoliki au aliyetayari kuhamia Roman Catholiki. iii. Awe mrefu wa wastani iv. Awe na elimu angalau kidato cha...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Hbr za kupeluz wana jf! Najtokeza kwa mara ya kwanza ktk jukwaa hili nikitafuta mwanamke wa kumuoa. nina miaka 33, nina diploma ya marketing, muajiriwa, mkrito,mtulivu, mcha Mungu. Sifa za...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Utashangaa kuona Dar es salama kila binti ana kishepu siku izi,unajiuliza wanafanyaje wengine wameumbwa hivyo manshallah,Ila wengine huwa creative zaidi. Tazama picha na toa maoni yako,karibuni sana.
2 Reactions
111 Replies
19K Views
Kitambo sana sina relationship. Natafta mpweke mwenzangu tuliwazane, propert zangu niko hivii,age 24 nipo Ardhi university.
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Kwa wale wasichana wa kishua ambao muda wote wao ni geti kali, hii hapa mbinu mpya ya kuwa ng'oa huko kwenye magorofa yenu ya Kariakoo na Mbezi.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu habari za siku nyingi. Inasikitisha sana pale kijana ambaye hana kosa lolote kuteseka namna hii wakati wenye makosa ni wachepukaji,huyu kijana kweli baba ambaye amemlea siyo baba yake...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Age does not protect you from love. But, love, to some extent, protects you from age. Jeanne Moreau The heart has no wrinkles. I love you more than yesterday, less than tomorrow. I love...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wivu ni chanzo cha migogoro katika uhusiano pengine jamaa hawa wawili hawana wivu kabisa baada ya kukubaliana kuishi kinyumba na mwanamke mmoja huko Zimbabwe. Mwanamke huyo Mlambo amesema kuwa...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Huwezi kumlazimisha mtu kupenda aina ya muziki ila kuna wadada hapa mjini wanajifanya wanajua kukariri taarabu, watu mpo bar au kwenye daladala taarabu ikipigwa mtu anafuataisha maneno mwanzo...
9 Reactions
245 Replies
35K Views
Which bad habits do you HAVE/HATE when it comes to relationships? Mine: 1. Naweza kuonekana sijali sana kwa kumpa mtu uhuru wake na kutomfuatilia kama mtoto. 2. Ni ngumu kuomba zile...
20 Reactions
259 Replies
19K Views
Baada ya kuwa msomaji mkubwa wa jukwaa hili la MMU, nimegundua muda mwingi wa watu unaishia katika kuwaza mapenzi tu, matokeo yake wengi wetu tunaishia katika umasikini wa kutupwa Amka sasa...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Ukiachana na principle "Like charges repel, unlike attracts" kuna ukweli mwingine wa kaka kupenda wadogo/dada zao kuliko wadogo/wakubwa zao wa kiume. Zifuatazo ni baadhi ya sababu: 1.Kina dada...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Nimewaza na kuwazua kwa nini wanaume wengi hatuna uvumilivu wa nyege.Sio waaminifu,haturidhiki na mwanamke mmoja,kila mwanamke mzuri tunamtamanijibu ni moja tu "macho". Kama wanaume tusingepewa...
1 Reactions
38 Replies
6K Views
By all means marry. If you get a good wife, you'll be happy. If you get a bad one, you'll become a philosopher. Socrates Marriage is like twirling a baton, turning a handspring or eating...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mara nyingi wakiwa kwenye vijiwe vyao ama ofisini hasa wenye ndoa wengi wao huishia kuvunjiana ndoa tu,unakuta mwingine anamshiriksha mwenzie matatizo yake na mumewe utashangaa ushauri atakaopewa...
2 Reactions
65 Replies
9K Views
Licha ya kumfanyia kila kitu alichokuwa anakihitaji ikiwa ni pamoja na kumpa hela ya matumizi madogo madogo na kumsaidia pale anapohitaji msaada lakini bado ameonesha hali ya kutokuwa na huruma na...
2 Reactions
38 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…