Macho yanatuponza wanaume

Macho yanatuponza wanaume

MTENDAHAKI

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2011
Posts
4,013
Reaction score
1,448
Nimewaza na kuwazua kwa nini wanaume wengi hatuna uvumilivu wa nyege.Sio waaminifu,haturidhiki na mwanamke mmoja,kila mwanamke mzuri tunamtamanijibu ni moja tu "macho".

Kama wanaume tusingepewa macho,tamaa yetu ingetulizwa na wake zetu,macho yanatufanya tuone wake zetu sio wazuri Bali wanawake wengine ndio wazuri,warembo na wenye mvuto.Wanaume wote ni watu wazuri sana na waaminifu ila macho yanawaponza .
 
Usilaumu Macho kuona ni kazi yake,ulaumu Moyo kupenda kitu si chake.
 
Tatizo sio macho bali ni tamaa zako ulizonazo ndizo zinakuponza unatakiwa ulidhike na yule uliyenae
 
macho macho macho..........kazi ya macho kuona then unapeleka kwa moyo....duh...yaache macho yafurahie uumbaji wa Mungu.....nkt.
 
Macho ni taa ya mwili, hayo mengine sijaelewa yanatoka wapi.
 
Tatizo sio macho bali ni tamaa zako ulizonazo ndizo zinakuponza unatakiwa ulidhike na yule uliyenae

Utakuwa umejaaliwa kutenga macho na tamaa za mwili!Hongera lakini mie naona chanzo cha kuongezeka kwa tamaa kwa wanaume ni kuona mitikisiko hii ikipita,
 
mkuu shukuru kwa mola walau unaona vipitavyo...je ungekuwa kipofu ingekuwaje?
 
Mathews 5:27-28
5:27 "You have heard that it was said, 'Do not commit adultery.
5:28 But I tell you that anyone who looks at a woman lustfully has already committed adultery with her in his heart.
 
Stevie Wonder ameoa na kuacha mara 4 plus 11 child with 5 women!!

BTW he is blind person!!
 
Mathews 5:27-28
5:27 "You have heard that it was said, 'Do not commit adultery.
5:28 But I tell you that anyone who looks at a woman lustfully has already committed adultery with her in his heart.
Duh, hapa nchi nzima inazini daily, with only few exceptions!!!!!
 
Back
Top Bottom