mimi huyu huyu
Member
- Feb 8, 2015
- 88
- 34
Habari wana MMU
Katika ukuaji wangu, kipindi cha kupevuka nilijikuta nimenasa kwenye tabia ya punyeto.Sikuwa mtu wa mademu punyeto ilisolve kil kitu mimi nikawa nakazana na kitabu tu.
Sasa tatizo sasa hivi nikiwa kwenye mechi sipati ladha ya tendo kama inavyosifika na watu na pia napiga mambo muda mrefu mno.Yani bao la kwanza mwenzangu nnaweza nikawa nimemfikisha hata mara sita.
Nikija la pili ndo mpaka mwenzangu ananiambia inatosha mi dushee bado linadai tu. Sasa mwenzangu anaenjoy sana, yani anafika mara kibao lakini mimi holaa.
Pia kama nlivyosema mwanzo sipati raha kama ninayoisikia ikisimuliwa na wadau.Kwa sasa nimeacha punyeto kama miezi miwili hivi. Sasa swali langu kwenu, kuna dawa ya kutumia au nikiendelea kujiweka mbali na nyeto ntakuwa okay.
Ushauri please