Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wasalaamu wote. Kama mnavyojua kila mtu ana tabia zake. Jamani unakua na mwanaume, akiwa na akili zake timamu( hajanywa ) utasema mume si ndo huyu mpole na mwenye busara zote Akinywa sasa utajuta...
2 Reactions
78 Replies
9K Views
Kwa mwanamke kukinaiwa na tendo si kitu cha kustaajabisha. Kwa wanawake tendo kwao sio kama wanaume kuingiza na kumaliza basi. Kwa wanawake tendo linaenda sambamba na maandalizi kihisia...
10 Reactions
40 Replies
15K Views
Yeyote alie tayari anipm niko Dodoma mwalimu Wa secondary serikalini
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Wakuu Katika watu wanaoleta changamoto ndani ya ndoa mojawapo ni hawa dada zetu, yaani ukishaoa tu tatizo mara oooh umemrisha kaka yetu madawa ndio maana siku hizi kapunguza misaada,mara ooh...
1 Reactions
33 Replies
6K Views
Naitwa Rose nina miaka 24 nimeolewa na kijana wa miaka thelathini, kabla yake nimekuwa na wanaume tofauti tofauti ambao walikuwa wananifikisha kileleni. Ila mume wangu hanifikishi kileleni...
7 Reactions
202 Replies
36K Views
DAH NOMA STORY YA DADA HUYU KAHABA INASISIMUA NA KUHUZUNISHA LAKINI NDO HIVYO TENA 12:08 -STORY -No comments. -Nilikua mwajiriwa katika kampuni moja maarufu jijini dare s salaam , katika...
0 Reactions
25 Replies
7K Views
Nina kila sababu ya kumshukuru Mungu kwani tunaambiwa tushukuru kwa kila jambo.Nilikuwa na girlfriend ambaye nilianza naye mahusiano kipindi ninahitimu chuo kikuu mwaka 2011. Nilimpenda sana...
4 Reactions
26 Replies
4K Views
Wanajamii kipindi nipo form four nilitokea kumpenda msichana lakini siikuwahi kumwambia na mbali na hapo hata kuongea nae bado bahati nzuri nimemcheki Facebook nikamweleza ya moyoni. Ila...
0 Reactions
66 Replies
7K Views
Humu MMU watu walio wengi wamepigizwa sana na mahusiano ya kimapenzi, wameachwa, wameacha, wameachika, ni wataalamu wa vita vya kujihami na kupigana ndani ya mahusiano. Siamini kabisa kama kuna...
1 Reactions
243 Replies
16K Views
Kuna rafiki yangu ambaye tuko kitambo kwenye mambo yetu ya kusaka tonge. Pamoja na bidii aliyonayo ana bahati ya mambo kumnyookea pindi afanyapo jambo. Kikubwa kilichokuwa kina mtatiza ni yeye...
0 Reactions
44 Replies
6K Views
Mimi nilikuwa nikiishi na mwenzangu takribani miaka mitatu ilopita. Mungu alitujalia kupata mtoto mzuri wa kike kwa jina aliitwa Mishelly, mwaka jana mwezi wa kwanza mishelly wangu alifariki gafla...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Wadau kila nikisikiliza habari za kimataifa nasikia habari za ubakaji zinaongezeka sana India,hii inasababshwa na nini. 1.Ugumu wa maisha. 2.Wanawake wa kihindi na wazuri sana, wanawake ni wengi...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Yani kila mkutano hakosekani ndio utakuwa umemtoa sadaka hivyo, kuna mdada mmoja ni mke wa jirani yangu,yeye kabla hajaingia kwenye ufurukutwa wa chama flani alikuwa ni wife material kwa sana tu...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari za asubuhi Jamani hii tabii ya wanaume kuwatukana wanawake itaisha lini utakuta mwanaume mzima na akili zake anamtukana mwanamke kisa tu amekataa kumsikiliza kwa stahili hii mtaishia kuona...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Hebu tuzijadili changamoto za kuwa na mwezi askari.Hasa ikifahamika hawa wenzetu wanaongozwa kwa amri, na utii wa sheria bila shuruti.Hivi ni mambo gani yanayowasibu hawa wenzetu walionawenzi...
1 Reactions
92 Replies
16K Views
Ukijikuta kwenye mahusiano na mwanamke ambaye kitu pekee kitu pekee cha maana cha kujivunia katika maisha yake ni makalio yake au muonekano wake tafadhali toka mbio maana hapo ni sawa na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari Jana ilikuwa ni siku ya valentine.Watu wengi hasa wapenzi wamekuwa wakitumiana meseji zenye kuonyesha jinsi gani kila mmoja anavyompenda/kumjali mwenzake.Tatizo ni kwamba meseji nyingi sio...
0 Reactions
12 Replies
12K Views
Nilitokea kumpenda demu mmoja,nikavutiwa naye nikamtongoza akakubali. Baada ya kula vitu siku ya kwanza nikanogewa. Nikaamua kumpa simu, smartphone Nokia Lumia TZS 650,000. Nimekaa naye kama...
6 Reactions
181 Replies
20K Views
Huu mchezo umepungua kwa kiasi kikubwa sana kwa miaka ya karibuni ila kwa hapo nyuma ilikuwa ikifika jioni basi kila mtaa utakuta watoto wakicheza kombolela (mchezo wa kujificha then...
3 Reactions
68 Replies
12K Views
Natafuta rafiki wa kike umri kuanzia miaka 18 hadi 25 pia anaweza kunichek whasap kwa namba hizo hizo namba 0713633204
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…