Wakuu no reform no....
Mwanamke wangu simuelewi kuna namba mbili tofauti anawasiliana nazo moja ameisave kbs jina la kiume na kwa jns nlivyofanikiwa kusoma sms anazotumiana na huyo bwana...
Vipi ukiona mtu amekaa ,utaenda kumwambia dada/kaka kaa vizuri ,na uchukulie kuna watu wengi ,mi nilimtazama nikamuashiria sa sijui akunifaamu,nikageuka na sikurudi tena mpa sheree zimeisha
Nimetoka kuhangaika na mishemishe za maisha, nimechoka na nimejaa mawazo.
Nafika nyumbani nategemea amani, badala yake nakutana na matusi na dharau zisizo na sababu.
Yeye mwenyewe kachukua simu...
Habari wakuu!!
Kuna hizi Ndoto mbili za jinsia zote ni ipi kati ya:-
Ndoto ya Kila ya mwanamke ni kuolewa na mwanaume mwenye Hela
Na ndoto ya Kila mwanaume kuoa Mwanamke Bikira.
Je ni ipi Ndoto...
Maneno "life begins at 40" yana maana kuwa mtu akifika umri wa miaka 40, maisha yanakuwa bora zaidi, labda kwa sababu tayari mtu keshapata skills, experiences na namna bora ya kuyafurahia maisha...
Katika dunia hii kila kitu unachokiona kimefungamanishwa na muda ...muda ndiyo unaamua kipi kitokee na wakati gani .....wanasema ukiweza kuuthibiti muda basi unathibiti uzee na kifo kwa maana...
Back in 1994, Gabriel met Christina at a party and they really hit it off. They ended up getting married even though she was 30 years younger than him. They were happily married for 20 years...
Moja ya zana muhimu sana katika uzinzi,uasherati na uchepukaji ni SIMU.
Sahau kuhusu kufuta sms,kusave majina kwa msimbo,kuwa na secret gallery,kutopiga picha na other illegal half,kubadilisha...
1.Ambaye muda wote anakukosoa kana kwamba hakuna hata siku moja umewahi kupatia hii ni dalili kuwa wewe sio yule akutakaye
2.Muda wote anakulaumu tu kana kwamba hakuna hata siku moja umewahi...
Katika hali isiyo ya kawaida amq kutokana na kukosa uzoefu, hofu, wasiwasi, kutofanya mazoezi, punyeto, msongo wa mawazo, lishe duni, kurithi na mengineyo mwanaume anaweza kukumbwa na tatizo la...
Hasara au Kupoteza.
Mapenzi ni Biashara, sasa inatakiwa uwe makini unawekeza wapi.
Maana Hawa Ndugu Zetu wapo After money, ukimsemesha tu anataka Pesa, Sasa kwenye hiyo pesa unayotoa kumpa Jua...
MADHARA YA KUOA MWANAMKE AMBAYE HAJASOMA NA GOLIKIPA NI HAYA!
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Nimeona kuna vijana hapa wanadanganyana na kuwa na mawazo ya kizamani.
Ati wao wataoa wanawake...
Kila nikitafakari naona wazee wa Kataa ndoa wapo sahihi hasa baada ya kusoma kitabu kiitwacho '
The Manipulated Man
by Esther Vilar (1971)'
Muandishi wa kitabu hicho ni mwanamke ambaye kwa kifupi...
Huna hela yakusupport familia yako kama mwanaume anatokea mke watajiri anawapa offer ya mke wako kuwa hawara wamume wake nakumpa kila atakacho maana huyo mke watajiri yupo busy kwa kazi hana time...
Huyu manzi tulikutana Nairobi, nilienda kwenye mbishe flani ya chap kwa haraka, mwenyeji wangu akanipeleka club moja inaitwa K1 Klub.
Hapo nilikutana na mamsi mmoja, ni msupuu siyo utani...
Hivi nyie wenzangu ambao mko kwenye distance love mnawezaje aisee yaani siku baada ya siku ndivyo ninavyozidi kuchukia distance love na kumchukia huyu binti bila sababu yoyote ile ila binti...
Wajumbe mko pouwaaa?Nimeona tushare pamoja juu ya hii dhana,ambapo inasemekana kwamba mwanamke anayekuvumilia wakati huna pesa ana mwanaume anayempa pesa ndiyo maana anakuwa mtulivu na hana...
Fikiria mtoto mzuri anajipoat, anafollowers kibao, hajaona picha yangu, na hajaomba ila anajibu text zangu kwa haraka na amekubari kukutana na mimi.
Najiuliza huyu atakua wakawaida kweli? Mana...
Hello jamiiforums
Leo tuangalie watanzania wenye vipato fulani si vikubwa ila kuna vitu viko ndani ya uwezo wao
Sadaka siyo lazima utoe kwenye nyumba za ibada,hapana!
Fanya haya ili kukuza...
Ndoa ni ngumu wakuu!
Hebu fikiria uungane na mtu ukubwani halafu uanze kumletea sheria zako na azipokee tu kirahisi, sio kweli! ni lazima kuwepo na jambo la ziada kutoka kwako kabla ya sheria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.