Hizi Ndoto mbili ni ipi ni rahisi kupata Mwenza wa ndoto yako

Mtu Alie Nyikani

JF-Expert Member
Nov 9, 2022
714
1,527
Habari wakuu!!
Kuna hizi Ndoto mbili za jinsia zote ni ipi kati ya:-
  • Ndoto ya Kila ya mwanamke ni kuolewa na mwanaume mwenye Hela
  • Na ndoto ya Kila mwanaume kuoa Mwanamke Bikira.
Je ni ipi Ndoto ambayo ni rahisi kutimia? Kwa upande wa Me na Ke.
 
Mwanamke akitaka mwanaume Mwenye hela anaumua/ anakuza ukubwa wa tako na hips.

Ndoto ya Kupata mwanamke bikra ni zaidi ya ndoto. Sikuhizi watoto wanaanza ngono kabla ya balehe/kuvunja ungo. Unakuta msichana wa miaka 13 ana uwezo wa kumridhisha mwanaume wa miaka 25 kitandani.
 
Kwani bikra ina kazi gani muhimu sana kwa mwanaume.
bikra zipo kibao huko bush na wala haziringi.
Tatizo watu tunataka bikra za tabata
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom