Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habar wakuu hivi mke kutokuomba tendo la ndoa Wala kutengeneza mazigira yakuhitaji tendo la ndoa,yaan mpaka umuombe ila huwezi Kuta anamazigira ya kuhitaji au kuomba ukipiga kimya hitaona ishara...
6 Reactions
29 Replies
2K Views
Basi kwasababu siku na uwezo wa kutimiza hiyo milion 3 Nika pambana nikaipata milion Tatu Baada ya miaka miwili ya kusave fedha nikapata wazo niende Sasa kutoa mahari lakini wakati Niko njiani...
14 Reactions
92 Replies
4K Views
Siku ya wapendanao imekaribia, njooni tubadilishane uzoefu wa kuwapagawisha hawa vidume. ************************ Muhimu sana kuzingatia Kama period yako ya mwisho (January) ulianza kati ya...
19 Reactions
135 Replies
5K Views
I Thought I Was Over My Ex Until THIS Happened (My Fiancé Had The Same Problem) Two years into my engagement with John—the man of my dreams—I started having vivid nightmares about my ex, Mike...
1 Reactions
6 Replies
922 Views
Wakuu vipi? Baada ya kusoma Points za huyu jamaa hapa...
19 Reactions
184 Replies
119K Views
Kuna muda ni kama analeta kunizoea, ila akishika simu akiangalia social media ninavyotongozwa, anajua kumbe yuko na " Dhahabu" Yenye thaman sana. Unakua sometimes wapenzi wetu wanatuzoea af...
8 Reactions
44 Replies
2K Views
Kuna familia hapa jirani Mara nyingi ilikua Ikimhisi Sana father house wao kuwa alikua na nyumba ndogo huko mtaani. na daima familia kiujumla ililalama kuwa mzee wao alifuja kipato chake kikubwa...
35 Reactions
88 Replies
4K Views
1. Daima mama mtoto atakuona fala. Usidanganyike na ngozi ya kondoo aliyojivika kwa nje, ukweli ni kwamba kwenye akili yake anakutafsiri tofauti. Anakuona simp mmoja mjinga jinga. Hata hivyo...
56 Reactions
212 Replies
9K Views
Titanic ni moja ya movie duniani ambayo mpaka sasa iko kwenye rekodi ya movies zilizouza sana duniani hadi kufikia gross sales kwenye box market USD 1 billion. Movies nyingi huwa zina starring...
11 Reactions
63 Replies
3K Views
Mimi nanunua ubuyu nakula, Nanunua chips yai nakula Ice cream nakula kwa kunyonya bila shida. Haviondoi uanaume. Mambo ya sijui ndizi ule kwa kukatakata mana ukila kiurefu ni mambo yakike...
21 Reactions
57 Replies
3K Views
Kuna jamaa nilikua napiga nae story akaniambia, Kuna ndoto anaota inajirudia rudia, inamsumbua na haipendi. Anaota parapanda inapigwa mwisho wa dunia umefika na yeye bado hajatubu makosa yake...
4 Reactions
14 Replies
722 Views
Hii dhana nimekuwa naiskia saana mitaani. Nimeishuhudia pia kwa rafiki zangu. Leo hatungumzii mwanamke kumheshimu na kujinyenyekeza kwa mmewake. Ila tuongelee Sita kwa Sita. Mkiwa Sita kwa Sita...
24 Reactions
107 Replies
4K Views
Yes huu ni ukweli mchungu ambao lazima Kila kijana wa kiume anayetaka kuingia kwenye ndoa aujue..........huyu ni mdogo wetu,ndugu yetu,jamaa yeti,alioa kwa mbwembwe mwanamke daktari,ndoa ina miezi...
20 Reactions
41 Replies
3K Views
Mmekuwa watu wa karibu kitambo sasa,labda mko ofisi moja,darasa moja,mtaa mmoja etc. Mnaelezana mambo mengi hata yanayohusu mahusiano yenu ya kimapenzi na watu wengine. Mkiudhiwa na wapenzi wenu...
1 Reactions
63 Replies
6K Views
Mzuka wana JF Habari Nina mdogo wangu katembea na wanaume wawili kwa siku moja kwa mda tofauti tofaut alafu alikuwa kwenye siku zake za Atari anauliza akipata mimba mtoto anaweza kufanana na...
1 Reactions
46 Replies
2K Views
Habari Ndugu na jamaa, nashukuru Mungu, Muumba mbingu na Ardhi kwa Uhai huu. Tunaishi katika Dunia yenye mambo mengi ya kufurahisha, kuhuzunisha na ndio Maisha! Umri Kumbe umesonga! Kuna Kasi...
12 Reactions
46 Replies
3K Views
Wanaume wengi wapo kwenye ndoa isiyo sahihi kwasababu ya uzuri wa mwanamke na wanawake wengi wapo kwenye ndoa isiyo sahihi kwasababu ya pesa za huyo mwanaume. Ndani ya ndoa mtu ndio anakuja...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Salamu kutoka Buza kwa Mama Kibonge, sio tena kwa Trump, nimesharudishwa nyumbani kibabe. Basi bwana, nilipata mtoto mmoja wa kitasha sasa kwenye harakati ndio nikafunguka. Kifupi nilijua kwamba...
1 Reactions
5 Replies
585 Views
Wanawake tuliowengi kwa sasa tunaendeshwa na hisia tu badala ya uhalisia Kwa sasa tunaamini na kuhisi kwamba iwapo mmeo hakupi pesa ya matumizi ya kutosha au akakwambia hana pesa kwa muda huo...
6 Reactions
35 Replies
1K Views
Women's ideal sense of romance is literally cheating. Sexual fantasy kubwa ya wanawake ni kucheat, na hii nimejifunza the hard way.(Hiki kisa ntakuja kukisimulia siku nyingine) Mwanzoni nilikuwa...
22 Reactions
63 Replies
5K Views
Back
Top Bottom