Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

You came along at the right moment at the time when all other things were running rampant when care, comfort and friendship were all the important unfortunately, lasting happiness this life does...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
1.Mwanamke mwenye kung'ang'ania utekeleze kumpa vitu kama gari na kulazimika kivunja bajeti. I mean mpenda hela. 2.mwanamke mwenye mdomo saana. 3.mwanamke mwenye matusi ya nguoni. 4.mwanamke...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wana mmu,jaman mimi naombeni mnijuze wimbo huu ivi uliimbwa na msanii/bandi gani maana naupenda sana
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nimekuwa nikikutana na watu wengi wanaotafuta wachumba kwenye mitandao ya kijamii na magazetini. Hivi ni wakweli? Je, wanapata wenzi wa kweli au wana yao jambo? Tupanuane mawazo tafadhali.
0 Reactions
13 Replies
5K Views
1.Awe mwanamke 2.umri 18 to infinite 3.Awe na akili timamu 4. Awe mshugulikaji kwenye kutafuta pesa pia awe na malengo na maisha asiwe goalkeeper kwan mimi sioo falcao. 5.Arembo majiyakunde na...
1 Reactions
44 Replies
5K Views
Wasiliana na wataalamu wa mahusiano kutoka kampuni CPM Business Consultantsili upate ushauri nasaha jinsi ya kutatua matatizo yako. Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0784 394701
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Habari zenu wanawake Mimi ni mwanaume mtu mzima nina miaka 46,kwa heshima kubwa na nina nia ya dhati kutoka moyoni na upendo wa kweli moyoni mwangu,najitokeza kutafuta mwanamke kwa maisha...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu, Jamani nimejaribu kufanya tathmini ndogo sana ila nimegundua ndo nyingi siku hizi hazidumu kwa nini? nimegundua sababu kubwa inayofanya ndoa kutodumu kwa muda mrefu je, wewe umegundua?
0 Reactions
41 Replies
11K Views
Jamani ukubali ukatae mpenzi wako ndiye rafiki yako mkubwa kuzidi wote.Hapa nazungumzia mke au mume anakuwa rafiki yako wa karibu kwasababu mnakuwa karibu kwa kuambiana vitu mbalmbali.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
We don't know each other like that, we were raised & grew up differently, but we do have one main thing in common, We are men and we live almost all our lives trying to impress women, it's la cosa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari humu ndani, mimi ni mgeni humu ndani na ndio napost topic kwa mara ya kwanza, mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 24 sasa lengo la kuandika hii poat nimehisi nikiitoa moyoni nitakua kama...
4 Reactions
153 Replies
15K Views
Habari za asubuhi, Naombeni ushauri juu ya hili nilikuwa na mkaka tuliachana kila mtu akaendelea na yake ila sasa kila mtu anataka uhusiano urudi. Lakini akasema sasa inabidi ufanye majukumu yako...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
March 16, 2015: This is a list of the richest pastors worldwide. 7.Temitope Joshua: Synagogue Church Of All Nations (SCOAN) has an estimated net worth: $10 million – $15 million. Nigeria's...
3 Reactions
87 Replies
9K Views
Haijalishi kiwango cha Elimu mimi ni Muhitimu wa Chuo Contacts- 0653325710 And 0689744743
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hapo juu nimeamua kutumia tafsida ktk hili ninalotaka kuuliza ili mods wacje wakaunyofoa mapema tu huu uzi, juzi hapa kuna mdau mmoja ni mgeni mgeni humu Jf anaitwa 4GB Fulltinga's, alidondosha...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nashangaa na kelele za wanawake hasa hawa ambao hawaolewi kudai kila siku haki haki wakati hakuna siku ambayo hizo haki waliporwa.Tanzania isiingie katika mtengo huo maana penda usipende mwanamme...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Wasichana au wanawake wengi kumbe hupenda kuwa na mahusiano ya kimapenzi sana na wanaume waliofanana kimuonekano kimaumbile ( physical appearance ) na wazazi wao wa kiume nikimaanisha baba zao...
4 Reactions
83 Replies
9K Views
Kuna binti mmoja nilimtongoza hapa chuo hakuonesha kukasirika ila alichoniambia kuwa yeye ana mtu wake na wamesha panga mengi kwa hiyo itakuwa ni vigumu kuwa na mimi. Siku kasirika sana ila cha...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Nimeamini ukimtegemea Mungu hakuna linaloshindikana. Nina shemeji yangu mmoja ambaye alikuwa akisafa kwa muda mrefu kutafuta mkopo ili aweze kumalizia nyumba chake iliyopo Bunju hasa kutokana na...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Siku hizi kufunga ndoa hakuhitaji sana mtu kufanya research ya kutosha,hili linajionyesha kwa jinsi ambavyo ndoa zinafungwa baada ya mda mfupi wa mahusiano,ndoa zinavunjika baada ya mda mfupi...
1 Reactions
3 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…