Ni mida sasa natafiti hiki swala la wanawake wembamba na wadogo wadogo ni wasumbufu na pasua kichwa kwenye mahusiano ya kimapenzi.Wanakuwa waongo waongo swaga nyingi yaan hata nashidwa...
Habari zenu waungwana wenzangu,
Hii inamhusu huyu kijana wa kikongo ambae ametokea kuwa best friend wangu kwa mda wa miaka 5 sasa. Kabla ya kuingia katika ulimwengu wa wawili wawili (ndoa) huyu...
Watu wengi walio "single" kwa njia moja au nyingine wana matatizo lakini huwa ni vigumu kuukubali huu ukweli,inaweza kuwa ni uwezo mdogo kifedha,kushindwa kumpata mtu anayefikiri ni sahihi,au woga...
Nilikuwa na mpenzi tumekuwa naye kwa muda mrefu tulipendana sana lakini amebadilika ghafla amesema hanitaki tena na mimi bado nampenda sasa nifanyeje jamani.
Naomba ushauri wenu
Wadau habari,
Mimi ni mgeni kidogo katika hili jukwaa.Kuna rafiki yangu ameoa na kujaliwa kupata watoto wanne,wameishi kwa amani kwa takribani miaka 8.
Sasa miezi kama mitatu iliyopita kuna...
Wadau za usiku huu,
Kuna kitu huwa kinaniumiza sana kichwani mwangu kwani kuna mdada mmoja mzuri ameumbika na ana sifa zote nzuri za kike. Tatizo linakuja kila nikikutana nae jogoo ananywea...
Nimeitoa fecebook,
Wakaka acheni ujinga,ukitaka msichana wa peke yako mgharamia nakwambia wanawake asilimia kubwa hukumbuka fadhila za mtu anayemgharamikia kuliko wanaume,usidanganyike hakuna...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
(Hii ni Story Ya Kutunga, a.k.a Fiction but its worth your time to read. Or it might not be a story maybe...
Ni msimu wa mvua na baridi, sasa sehemu za pwani kama Dar huu ndio msimu wa wanawake wengi kudungwa mimba. Itakapofika Desemba na Januari watoto wengi watazaliwa. Sikiliza idadi ya watoto...
Nawaombeni mniwie radhi wadau.
Hivi wewe binti ulieachwa na bwanako(sio mumeo wa ndoa) ni kitu gani hasa kinachokufanya baada ya kuachika umchukie kila mwanaume?. Ukitongozwa unakua mkali kama...
Hii habari wazazi wengi hawaijui kwa sababu either hawajapata elimu ya chuo hivyo kujua mazingira na tabia za wana vyuo, ama wanaishi mbali sana na watoto wao.
Ukweli ni kwamba mabinti wengi...
Habari zenu wakuu,
Nina rafiki yangu wakaribu anataka kuolewa na mwanaume aliesoma nae elimu ya sekondari wasiwasi wake ni kwamba enzi zake huyu muolewaji alikua ni kicheche pale shule alikua na...
Leo nakukumbusha tena na hili ni tatizo la wanawake wengi mnakua nyuma katika ushilikiano wakati wa mapenzi.
Usikubali kila siku mwanaume awe wa kwanza kukuvua nguo wanaume wengi wanapenda mpenzi...
Habari wana MMU.
Nimekuja kwenu kuomba ushauri kwani najua huku wapo wakongwe wa mahusiano na mambo ya familia.
Mchumba wangu ana tabia moja ya ubishi.
Unaweza muomba game akakujibu mimi...
Wanawake wenyewe hua wanalionaje jambo hili kutongozwa.Je huwa wanalionaje au hua wanalichukuaje?
Wanaona kua ni sawa tu.wanaona jambo la kawaida na fahari kwao. Wanaona ni kero ila wafanyeje...
Wapendwa natumaini mu wazima na furaha kuwa weekend imefika.
Naomba tusaidiane katika hili. Ni mara nyingi kina dada tumekuwa tukishutumiwa kkwa kutokuwa na mahusiano mazuri na ndugu zetu wa...