Ushauri: Kila nikikutana naye nashindwa kufanya nae mapenzi

Ushauri: Kila nikikutana naye nashindwa kufanya nae mapenzi

yaser

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
1,361
Reaction score
299
Wadau za usiku huu,

Kuna kitu huwa kinaniumiza sana kichwani mwangu kwani kuna mdada mmoja mzuri ameumbika na ana sifa zote nzuri za kike. Tatizo linakuja kila nikikutana nae jogoo ananywea kabisa mpaka kero.

Hapa naandika haya kalala pembeni baada ya kumforce sana jogoo lakini wapi. Sijui tatizo ni nini kwa sababu kwingine jogoo fresh anapiga kazi kama kawa tatizo nikimuita yeye tu lazima jamaa agome kufanya kazi, hii leo ni mara ya nne.

Naombeni ushauri wadau nifanyeje?
 
Ondoa hofu! Inaonekana kila ukikutana naye unawaza yaliyotokea mara ya mwisho mlipokutana! Ondoa hofu na papara utakuwa poa tu mkuu! Ni tatizo la Kisaikolojia tu!
 
Unaonekana Wewe Ni Kicheche.Uko Kwingine Ambako uko Fresh Ni Wap?.Tatizo Lako Ww Ugegedagegeda Ovyoovyo.Na Uyo Dada Unaemzungumzia Ana Bahati Mbaya Yakua Wa Mwisho Kwenye Listi.Kwahiyo Migenye Yako Yote Unaimalizia Kwenye Michepuko Unategemea Nini.?

Uwezo Wako Wenyewe Mdogo Msosi Wenyewe Mdogo Msululu Wa Michepuko Mingi Ya Kazi Gani?Nakushauri Baki Na Mmoja Tu Dushe Haliwezi Kukuangusha.Hasira Zako Zote Unazimalizia Kwa Uyo Uyo Mmoja.
 
atakuwa na balaa huyo ukifanikiwa kumlala unakufa mda mfupi au unapata ajali au unafirisika.kimbia hilo ni jini
 
atakuwa ametegwa huyo labda muulize vipi anapochepuka na mwanaume mwingine huwa hawalalamiki
 
na avator yako ya liccm...hivyo si ndo mlivyo
 
Si nilikwambia ndele imeanza kunitekenya, sasa hivi ulipo nipo, toa shaka, kazana kutafuta V8 sasa.
Achana na stori za V8 my beautiful onyinye, nishakuambia nina uhakika wa kupata IST ya airtel kama sio Passo ya CRDB... sasa hofu ipo wapi mammy? And you know what? You look so beautiful with that dress... wallah, u're killing me my oxygen!
 
Back
Top Bottom