Mpenzi wangu hana wivu na mimi

wivu wa mwanamke uko kwa mwanamke mwenzie,akimuona mwanaume wake anazungumza na mwanamke basi ugomvi sijajua ni kwanini wanawake wanatatzo hilo
 
Nahisi Utakua Na Sura Ngumu Sana Wewe Kama Mbauda.Na Ndomana Mpnz Wako Hana Wivu Kabisa Na Wewe.Pole Sana!
 
Mweeeeeeee hawa KE wana maajabu jamani maana ukiwa na wivu basi watakuja umu kulalama "bwana angu ana wivu na haniamini ananikera" ukiamua kukausha na time zako ndio yanazuka kama haya utasikia hawapendwi,kuzaliwa ME ni kazi hasa inapohusisha kuishi na hawa KE.
 
cjui umejuaje??? kakufumania alaf hajakuulza nn??? ila anyway wivu unapunguzwa kwa KUJIAMINI xo labda anajiamini
 
Ukionewa wivu unaleta blabla usiponewa wivu unaleta pechepeche sasa tukuelewejee na km kakuambia hakuonei wivu n kwamba hana was was na ww kutokana na ww ulivyoo
 
inawezekana mpenzi wako kutokua na wivu na wewe?


Hapo mtanzania mwenzangu unachokitaka humu JF sijakielewa...uzi unasomeka mpenzi wako hana wivu na wewe..then linafuata swali kama hilo jambo linawezekana

Kabla hujapost umesoma ulichokiandika?

Maadamu akili yako inaonekana iko hivyo nitajitahidi kukufafanulia

Mpaka tuseme kitu fulani kinawezekana lazima uwepo ushahidi wa kitaalamu sana sana wa kisayansi au wa kimazingira kuonesha kuwa kweli kitu hicho kinawezekana. Sasa kama mpenzi wako hana wivu na wewe basi hapo tuna ushahidi tosha na tunaweza kusema si tu kwamba inawezekana bali IMEWEZEKANA NA INAENDELEA KUWEZEKANA.

Ila kwa akili yako iliyojionyesha kwenye swali hata mimi siwezi kuwa na wivu na wewe!!!!!
 
sasa kama anajua mtu mwenyewe mpaka ubustiwe 0713-fingerprint, awe na wivu wa nini,,, anajua huthubutu kwenda popote kenge wewe....
 
Back
Top Bottom