Jisahiishe kimapenzi mwanamke kwa kufata aya

Jisahiishe kimapenzi mwanamke kwa kufata aya

RAMIDO2015

Member
Joined
Mar 4, 2015
Posts
8
Reaction score
7
  1. Leo nakukumbusha tena na hili ni tatizo la wanawake wengi mnakua nyuma katika ushilikiano wakati wa mapenzi.
  2. Usikubali kila siku mwanaume awe wa kwanza kukuvua nguo wanaume wengi wanapenda mpenzi wake aanze kumvua nguo ukifanya hivyo utafanya ajisikie raha sana ata kabla ya tendo.
  3. Mpigie simu mwambie nina hamu na penzi lako leo maana wewe ndio unanijulia naomba panga mambo yako maliza lakini leo nikuone nina hamu sina wa kumwambia zadi yako.
  4. Wanawake uwa awasemi kwa wapenzi wao ata kama wanajisikia kufanya mapenzi ni tatizo ambalo wanaume wengi awalipendi.
  5. Mwanaume anajisikia raha akisikia umemwambia anajua mapenzi hasa kwako msifie kunogesha mapenzi usife na sili moyoni.
  6. Jitaidi umnunulie ata zawadi na zawadi kubwa ya mwanaume ni nguo na ukiona ujui kulenga saizi yake muombe akusindikize mahali akikubali mpeleke mwambie naomba tuangalie nguo alafu mwambie nguo gani unaipenda ungekua na ela akiitaja mwambie nimependa nikununulie.
  7. Sio kila wiki una mchuna lakini umkumbuki , mwanaume anapagawa sana na zawadi iliotoka kwa mpenzi kuliko kwa mama yake mzazi.
  8. Msifie kuhusu body yake ata kama ndogo atajua kumbe unampenda jinsi alivyo
  9. Usipende kupokea ela kila wakati wakati unamalengo nae bahadae wanaume wengi wanawapima wanawake kwa kuwapa ela kila mara kuwapima roho zao, wakati mwingine akikupa pokea alafu bahada ya dakika tano mwambie fumba macho nina saplaizi akifumba mwekee mfukoni yaani mludishie akikuuliza kwa nini umeludisha mwambie sina kazi nayo kwa sasa nikiitaji nitakwambia atakutoa kwenye group la wanawake pesa
  10. Kumbuka wanaume awataki wanawake wasiokua na mawazo ya biashara ata kama auna pesa mwanaume wa sasa anataka kusikia nakelwa na kukaa nyumbani nikipata pesanitafungua genge au nitapika maandazi nipeleke dukani kwa mangi maana nitakutegea kwa kukuomba mpaka lini inabidi tusaidiane hapo wanaume utasikia nina mke ata kama ajakuoa.
  11. Usipende kufatilia simu yake atakuogopa mapema.
  12. Muombe ruhusa unakwenda sehemu ata kama yupo mkoa atajiisi unamsamini.
  13. Usikubali kila unapoenda kwake au anapokuita alafu anataka kusex wakati mwingine mkatalie maana wanaume wanawapenda wanawake wenye msimamo maana mwambie siwezi kuja kwako tukaongea tuaani kila nikija nikusex tu ukiona anakuita alafu anataka mapenzi ujue kakufanya wa kupita mwambie lini tutakua tunaonana bila ya sex tukapanga mambo yetu.
  14. Usipende safari zako au mambo yako unapanga unategemea yeye atakupa ela nakwambia utakimbiwa na wanaume wengi maana wanaume wanawakimbia au wanawakataa wapenzi wengi kwa jili ya tamaa ya fedha au kuombaomba utazeekea nyumbani au kwako ulipopanga.
  15. Epuka kuomba kodi ya nyumba au niongezee kodi kwani ilo linatukela sana wanaume maana ata yeye anadaiwa kwake umeamua kupanga ujue kulipa, pia usione fahali mwanaume kukulipia kodi kama anakupenda mwambie aamie kwako au wewe uamie kwake atakuaona tegemezi atakua anakusumbua sana na anaweza akakuaibisha kwa kitu ambacho ulikua unakifanya awali.
  16. Usipende kukubali kupewa ela siku ya kusex na mpenzi wako maana inaashilia ananunua na atakua akufikilii kwa bahadae ndio maana utawasikia wanaume wengine wanakwambia mimi yule simuwezi matawi sio matawi anapenda pesa sana sasa io sifa ni ujinga.
  17. Usikubali kubeba mimba kwa mwanaume aliekuomba umzalie ukiwa kwenu au kwako au kwa ndugu ujue unadanganywa na wanaume wa namna iyo uwakimbia wanawake usidanganyike na huduma anayokupa mwambie nipo lazi kuzaa. Lakini nikiwa kwako tu nakupenda sana ila siwezi kwenda tofauti na maagizo ya mama alieniambia nizae nikiwa nimeolewa.
  18. usikulupuke kumpeleka mwanaume ulipopanga au kwenu kwani sisi wanaume tunaamini umeshawapeleka wangapi mpaka sasa na akitaka kupajua kwako mwambie kweli nimepanga lakini siwezi kumpeleka mwanaume yeyote kwangu mpaka atakejitambulisha kwetu na kufata taratibu zote wanaume wanapenda kusikia ivyo japo kwa pale awezi kukuonyesha hata iweje sana sana atang'ang'ania apajue tu shikilia msimamo wako.
  19. Usikubali mwanaume akupeleke kwa ndugu zake au wazazi wake kwani mwanaume aliestarabika awezi kubeba mwanamke na kumpeleka kwa wazazi kabla ya taratibu, wanaume wa namna iyo wanakua wamepeleka wasichana wengi sana kwao na kama fashion tu na wazazi wengine wa siku hizi ni wa kisasa wanafulaia tu kuona mtoto wake analeta kila kukicha, lakini anakuja kuolewa mwingine ambae ajawai kuletwa kama mzigo tumeyaona mtaani yapo, mwambie njoo mjitambulishe kwetu mkitambulika nitakua lazi kumjua mama yako na ndugu zako.
  20. Usipende kupokea simu pembeni mbele ya mpenzi wako inapopigwa ata kama ya nani, kwani atakuweka group baya wanaume wanapenda kujua simu inayoingia kwa mpenzi wake.
  21. Kumbuka aya ni kwa wale wapenzi wenye malengo sio mpita njia wa siku moja.
 
narudisha pesa mfukoni baby nina suprise yako fumba macho uwiiii miss chagga upo dada angu?
 
Last edited by a moderator:
Dooh, aisee shukran kwa mtoa mada, yaani mimi ni me na nakubaliana na mtoa mada asilimia 1000, umegusa mulemule.
 
mmmh! asante kwa somo zuri basi ungetupa hata nafas ya kushusha pumzi kidogo yan umeachia km mvua za elninyo
 
Daah!! Umeandika mambo mazuri sana , ila mm huwa sipendi ntu badala ya 'r' unaandika 'L' , hili ni tatizo kubwa sana.
 
Nukta si hoja ujumbe ni moto mbaya kabisa mkizingatia hayo hakuna wa kubaki nyumbani. Big up mleta mada kwa utafiti wako
 
22.Tafuta mpenzi mwenye mapenzi ya kweli kwako vingenevyo hata ukimfanyia yote ayo na suprise kibao na hata ukimlamba miguu bado atakumwaga tu.
 
Back
Top Bottom