Habari zenu waungwana wenzangu,
Hii inamhusu huyu kijana wa kikongo ambae ametokea kuwa best friend wangu kwa mda wa miaka 5 sasa. Kabla ya kuingia katika ulimwengu wa wawili wawili (ndoa) huyu kijana alikuwa mwenye huruma, upendo na msaada mkubwa kwa familia yake.
Kila mwezi alikuwa anatuma hela kwao kwa ajili ya kuwasomesha wadogo zake na zingine za matumizi ya wazazi wake. Huyu kijana ilikuwa haipiti siku 3 bila kupiga simu kwao, lakini sasa since aowe amebadilika kwa kuacha kuwasaidia ndugu na wazazi wake, afu baya zaidi na namba za simu kabadili ili wazazi wake wakimpigia simu wasimpate.
Cha kushangaza huyu mkewe ambae ni mu Angola huwa anatuma ela kwao kila mwezi kwa jasho la huyu mkongo afu kama haitoshi kaishaleta na ndugu zake wawili huku wanasoma. Wazazi wa huyu mkongo wanateseka mpaak sometime mi ndio huwa nawatumia chochote ili wapate kuweka mkono mdomoni.
Wazazi wake na ndugu wanaomba nimshauri mtoto wao. Nishamshauri sana lakini ni sawa sawa na kumtupa bata kwenye mvua yani hajali kabisa na kibaya zaidi kila ninalomshauir lazima akamweleze mkewe kitu kilichosabisha mi na mkewe tuwe maadui wakubwa mpk leo. So kijana anazidi kuangamia.
Mwenye kujua njia nzuru za kumshauri huyu ndugu aniwekee hapa niweze kumzindua best wangu maana ashatekwa na utumwa wa mapenzi.
Karibuni