Kuumizwa

Kuumizwa

sulemanfaustine

New Member
Joined
Mar 21, 2015
Posts
4
Reaction score
0
Nilikuwa na mpenzi tumekuwa naye kwa muda mrefu tulipendana sana lakini amebadilika ghafla amesema hanitaki tena na mimi bado nampenda sasa nifanyeje jamani.

Naomba ushauri wenu
 
Nilikuwa na mpenzi tumekuwa naye kwa muda mrefu tulipendana sana lakini amebadilika ghafla amesema hanitaki tena na Mimi bado nampenda sasa nifanyeje jamani naomba ushauli wenu nifanyeje sasa?
Kiongozi pole sana. Achana nae na wala usiumize kichwa coz umeepushwa na mengi tayari. Omba mungu akupe wa kufanana na wewe. Huyo hafanani na wewe na ndio sababu amesepa. Kikubwa mshukuru kwa ushirkiano aliokupa kipindi chote mlichokuwa pamoja kwa raha na sio shida.
 
Nilikuwa na mpenzi tumekuwa naye kwa muda mrefu tulipendana sana lakini amebadilika ghafla amesema hanitaki tena na Mimi bado nampenda sasa nifanyeje jamani naomba ushauli wenu nifanyeje sasa?

mkuu sikiliza hii kitu uwajue japo kiduchu wanawake...mwalimu wao ni mmoja
 
Last edited by a moderator:
Usimpigie simu kwa zaidi ya miaka mitatu, katika kipindi hicho tafuta hela kwa nguvu sana, mwaka wa nne hesabu una bei gani kwenye account zako, kisha mtafute.

Utakuta kachokaaaa kama katapikwa!!! Hutakuwa na hamu ya mbunye yake tena.

Hakuna uwezekano umkute ana hela manake yeye amedanganywa kwa kupewa vihela vya kutumia akadhani amepata kumbe amepatikana. jamaa atasepa soon naye ataujua utamu wa mkakasi kuwa ndani ni kipande cha mti.

Pole na kila la heri.
 
Nilikuwa na mpenzi tumekuwa naye kwa muda mrefu tulipendana sana lakini amebadilika ghafla amesema hanitaki tena na Mimi bado nampenda sasa nifanyeje jamani naomba ushauli wenu nifanyeje sasa?

Mwambie kama ulijua vile hata mimi sikutaki
 
c ufate mambo yako mapeenz hayalazimishw hapo chemical reaction imeisha kampata zaid yako so chapa mwendo
 
Usimpigie simu kwa zaidi ya miaka mitatu, katika kipindi hicho tafuta hela kwa nguvu sana, mwaka wa nne hesabu una bei gani kwenye account zako, kisha mtafute.

Utakuta kachokaaaa kama katapikwa!!! Hutakuwa na hamu ya mbunye yake tena.

Hakuna uwezekano umkute ana hela manake yeye amedanganywa kwa kupewa vihela vya kutumia akadhani amepata kumbe amepatikana. jamaa atasepa soon naye ataujua utamu wa mkakasi kuwa ndani ni kipande cha mti.

Pole na kila la heri.

wakat anasaka hzo pesa uyo mtu yy atakua anagegedwa daily au na yy anatafuta???
 
Nilikuwa na mpenzi tumekuwa naye kwa muda mrefu tulipendana sana lakini amebadilika ghafla amesema hanitaki tena na Mimi bado nampenda sasa nifanyeje jamani naomba ushauli wenu nifanyeje sasa?

Chumvi ikishaisha ladha yake hakuna namna nyingine yoyote unayoweza kuirudisha

Mapenzi ni hisia za ndani kabisa kwenye ufahamu wa binadamu, huja zenyewe na huondoka zenyewe kulingana na sababu mbalimbali

SEREBUKA WAWEZA PENDWA TENA! lakini pia JITAFAKARI wapi ulikosea
 
Back
Top Bottom