Natabiri mimba nyingi kudungwa msimu huu

Natabiri mimba nyingi kudungwa msimu huu

Mantombazane

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2014
Posts
579
Reaction score
367
Ni msimu wa mvua na baridi, sasa sehemu za pwani kama Dar huu ndio msimu wa wanawake wengi kudungwa mimba. Itakapofika Desemba na Januari watoto wengi watazaliwa. Sikiliza idadi ya watoto watakaozaliwa msimu wa krismasi na mwaka mpya.

Hii ni kwa sababu, majira ya baridi na mvua huwa mwezi Machi hadi Mei hasa kwa sehemu za pwani. Ndoa nyingi hufungwa mwishoni mwa mwaka hivyo inapofika miezi ya mvua na baridi kama Januari hadi Mei ndio msimu wa udungaji mimba nyingi hufanyika tofauti na msimu wa joto kali. Kwa wale wanaotaka watoto msimu umefika.

Nawatakia udungaji na udungwaji mwema wa mimba!
 
Si utabiri maana ni kawaida ikifika msimu wa mvua!
 
Wewe wawazia ngono tu?

Lakini haishangazi, kwa kuwa hata jina la avatar yako 'Mantombazane' linashabiana shabiana na hayo unayoyawaza!
 
ingekuwa baridi ndio kigezo cha kuzaa, basi nchi za ulaya kila familia ingekuwa na watoto zaidi ya 10. Maana huko ndiko makao makuu ya baridi.
 
Hivi kipindi cha mvua watu wanakua likizo makazini kiasi kwamba muda wote wanang'onoka tu???
 
Ni msimu wa mvua na baridi sasa sehemu za pwani kama Dar. Huu ndio msimu wa wanawake wengi kudungwa mimba. Itakapofika Desemba na Januari watoto wengi watazaliwa. Sikiliza idadi ya watoto watakaozaliwa msimu wa krismasi na mwaka mpya. Hii ni kwasababu majira ya baridi na mvua huwa mwezi Machi hadi Mei hasa kwa sehemu za pwani. Ndoa nyingi hufungwa mwishoni mwa mwaka hivyo inapofika miezi ya mvua na baridi kama Januari hadi Mei ndio msimu wa udungaji mimba nyingi hufanyika tofauti na msimu wa joto kali. Kwa wale wanaotaka watoto msimu umefika. Nawatakia udungaji na udungwaji mwema wa mimba!

Hivi dar kuna baridi? Mantombazane
 
Last edited by a moderator:
Na kwa nchi za baridi au mikoa yenye baridi kwa kipindi kirefu utasemaje...
 
ingekuwa baridi ndio kigezo cha kuzaa, basi nchi za ulaya kila familia ingekuwa na watoto zaidi ya 10. Maana huko ndiko makao makuu ya baridi.

Mkuu Kig hiyo baridi ya Ulaya ni kali kiasi kwamba inawasababishia wengi hali kama vile ya depression na hata pale wanandoa wanaposhea kitanda kimoja unakuta hamna mwenye hamu na mwenzie! Baridi ya kibongo sio kali kihivyo na inashawishi mtu kuhitaji "blanketi chapa mtu"!!!
 
wabongo bwana, mkipata pakujibanza basi mnapakomalia kweli. hakuna baridi dar acheni uzembe. nendeni tukuyu-mbeya, makete au njombe ndo mtajua kuwa kuwa tanzania kuna baridi
 
Wewe wawazia ngono tu?

Lakini haishangazi, kwa kuwa hata jina la avatar yako 'Mantombazane' linashabiana shabiana na hayo unayoyawaza!
Endendeni mkazae muujaze ulimwengu. Ushasikia mahali hapa Tz kunaitwa Matombo? Je watu wa huko watakuwa wanawaza hayo tu?
 
mimba ya mama yako ndio ya kwanza, maku mbele wewe
Kwani wewe ulitokana na nini? Si baada ya wazazi wako kujamiana ndipo mimba ikatungwa na wewe kuzaliwa? La ajabu ni lipi? Hiyo maku mbona ni mojawapo ya vioungo vya mwanadamu wa kike ambayo obviously ndiko udungaji hufanyika na mama yako anayo. Sasa unaigeuzaje kuwa tusi sehemu takatifu kama hiyo??!! Utalaanika kiongozi kuwa makini!
 
Back
Top Bottom