Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ndugu zangu, Kuna kabinti nili fall in lo❤️. Sasa kila nikiomba mchezo kanadai kenyewe bado, yani bikra, dah nikasema sawa. Sasa Huwa na dada angu wa mjini, si nika mpa stori akanipongeza ila...
10 Reactions
91 Replies
1K Views
Hamjambo wote! Kuna watu wanafurahisha Sana. Ati wanamshangaa na kumsimanga Azizi Ki kwa kutoa Mahari 30m na Ng'ombe 30 na kumshutumu na kumkejeli kwamba ni mshamba sijui kanunua gazeti la Juzi...
10 Reactions
65 Replies
3K Views
WANAWAKE WENGI HUFIKIRI KILA MWANAUME ALIWAHI KUTOA BIKRA WAKATI WALIOKUTANA NA BIKRA NI WANAUME 2 KATI YA 10. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Mara kadhaa nimekuwa nikiwasikia wanawake...
11 Reactions
60 Replies
2K Views
natafuta mchumba wa kike awe na sifa zifuatazo ■ awe na umri kati ya miaka 22-25 ■ awe mwembamba kiasi mwenye shape ya kawaida ■ kabila lolote ■ Dini awe Muislam ■ Elimu kuanzia lasaba hadi form...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwenye sheria hazitumiki hisia, kinachoangaliwa ni kile kilichoandikwa kwenye vitabu. Hivyo maamuzi yoyote utakayofanya hata kama ni kwa nia nzuri lazima ujue kuna consequences zake. Kumbuka...
35 Reactions
155 Replies
4K Views
Pole sana bwana PERAMIHO YETU 1
5 Reactions
10 Replies
290 Views
Kuna kasumba hapa kwamba demu akiwa instagram haliwi kwanza kuna hawa akina Chizi Maarifa na Yule Mwingine ntamtag later wanadhani mwanamke akiwa instagram hafikiwi, ndo tunaishi nao huku, mi...
13 Reactions
120 Replies
2K Views
Habari za Sabato! Saikolojia iko hivyo. Kihisia na kiakili mwanaume na mwanamke hawana tofauti yoyote ile. Wanawake wana wivu kama tulivyo wanaume. Wanawake wanatamaa ya ngono kama tulivyo...
23 Reactions
317 Replies
4K Views
Natoa pongezi kwa wanandoa wote na wanandoa feki ambao wanaishi pamoja na hawajaoana. Maana wakina mama vilea mtaani wamekua wengi, mama wajawazito nao wamekua wengi, na huko mahospitalini haipiti...
2 Reactions
11 Replies
165 Views
Wakuu kwema. Nataka kushare kitu kinachoniumiza moyo lakini sina jinsi. Nimeoa ni zaidi ya miaka 8 sasa, tuna watoto watatu na tunaishi vizuri tu ndani ya ndoa yetu. Kitu kinanachonitatiza...
20 Reactions
49 Replies
4K Views
Hivi kwa week inatakiwa kufanya mapenzi mara ngapi?
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Kwanini dharau zinakuwa nyingi kutoka kwa wadada wa aina hii? kuna shida gani tukajenga wote maisha tokea chini? Kwani ni lazima unikute na gari tayari? Hatutaki wa aina yenu wa telegram...
4 Reactions
16 Replies
269 Views
Ukitumia akili utagundua hii Dunia inaendeshwa na matrix Yaani mawazo ya watu wajinga wenye uwezo mdogo wa kufikiri wanakuwa controlled na mfumo wa MTU Fulani anayejaribu kusema kuwa kuoa single...
3 Reactions
16 Replies
176 Views
Mke wangu anatumia sehemu ya hela ninayoacha nyumbani kwa ajili ya chakula kupeleka kwenye michezo yao ya kuchangishana pesa. Mwisho wa siku, nakuta chakula hakitoshelezi wala hakiridhishi kwa...
9 Reactions
43 Replies
726 Views
timu ya mamasta tunaopiga kazi nikujisevia tu.timu bora hapa Tz ni sis hamna wengine kama unabisha dhibitisha hapo chini.........??
2 Reactions
9 Replies
170 Views
Wenzako wanajiremba wanakuwa kama wazungu.anadungwa sindano za kuwa na nyash. alafu unakuta demu lieusi kama mkaa halina nyash.alafu...
2 Reactions
8 Replies
175 Views
Unavutiwa kua na mtoto /watoto? Watoto wako wamebadili nini kwenye maisha yako? Wameongeza nini kwenye maisha yako? Mara nyingi mtoto akiwa mchanga huvutia sana Namna alivyo na sura yake ya...
32 Reactions
243 Replies
3K Views
Najua mnaweza sema kwanini asiondoke kimyakimya....hapana ...Kuna wapendwa wasiponiona huanzisha thread...ndiyo...am not special ila naona ni upendo tu walionao kwa Wana family wote wa JF...
17 Reactions
89 Replies
3K Views
Good afternoon Wana jamii forums, Poleni na hongereni kwa majukumu. Mimi ni mwanamke miaka 47 single Maza wa watoto wawili ,Mume wangu alifariki miaka miaka mingi imepiata ila kabla ya kufariki...
11 Reactions
74 Replies
940 Views
Guyz, nimegundua kuna trend mpya mjini, wanawake wengi hawa wenye manyonyo makubwa a.k.a mtindi na wale wenye manyonyo ya kati a.k.a mabolibo hawavai kabisa bra, yaani mwanamke kavaa dera lake...
13 Reactions
164 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…